UNIQ ACADEMY

zigi 01

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
295
155
naomba msaada anaekijua hiki chuo! wanafundisha computer course! ubora wake na Ada yake
 
Chuo kipo vizuri sana wanasoma watoto wa kihindi na waswahili wachache wanaojiweza
Jiandae kwa ada si chini ya M1.5
 
Chuo kizuri lakini hakijitangazi sana, na hata fomu zake hazigaiwi kama njugu.
Ada ni 2.3M kwa degree.
 
Kwa semester 1 unalipa 1150000, halafu ada ni kubwa kutokana na idadi ya wanafunzi ni ndogo haizidi 40 kwa darasa, na pia elimu yao ni nzuri na bora!
 
Kwa semester 1 unalipa 1150000, halafu ada ni kubwa kutokana na idadi ya wanafunzi ni ndogo haizidi 40 kwa darasa, na pia elimu yao ni nzuri na bora!
kwa mwaka sasa ni sh ngapi? kwa level ya bachelor sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…