Nakisikia tuok! unakifahamu?
Unatak ukasomee kitu gan?naomba msaada anaekijua hiki chuo! wanafundisha computer course! ubora wake na Ada yake
Bsc ICT
najipanga kusoma mwakani! nimeambiwa ni chuo bora so ndio naulizia kwanza nikijue vizuri
IS ndio nn kirefu chake? ndio IT SECURITY au??