UNIQ ACADEMY

Hapo kuna kozi za kawaida ambayo ada yake ipo humo humo, na kuna kitu kinaitwa Professional course, ambayo inafundishwa kutokana na uhitaji au soko la IT kwa mwaka huo, so kuna kama laki 3 hivi ndio ada ya professional course kwenye hiyo 1,150,000 kwa semester!
 
ok! kinaonesha ni bora zaidi kuliko DIT na Udom kumbe sasa
 
Back
Top Bottom