Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Mwanaume akinuna mi naonaga kama ufyatu, mdomo unavutwaa vishavu vinavimba vinakua kama vipulizo vya Ubarikio....
Yani mwanaume anaenuna ni sawa na......nitamalizia baadae
Nime kufollow tena na huku Am so sorrry leo nipo na wewe
 
Kila ninaposoma thread za vijana napata kizungu zungu. Anyway, I had my share, endeleeni!
 
Hapa patam. Je na mwanamke unapojivimbisha na kususa ni ili iweje
 
hahahah muwe nahuruma jamani...eti apupu tikiti...Dah bibi angekusikia angekufinya kwenye mkono!

Weee mwanaume akinuna anavimba hadi unaogopa, yani kama kuna papai karibu mpe ale lilainishe something something .....anaweza kupupu tikiti ooohhhh
 
Hahahaha hakya mama umenchekesha... Maana kuna wakaka bana ukiwapenda na sura ka jiwe la fatuma wanaringa
 
Mpendwa ni tabia gani lakini hii?
Yani mwanaume mzima anavuta mdomo, sharubu zinajikusanya anakua kama dume la nyau....

Kununa noma. Ila wengine ni victims wa ego. Pozi sometimes haziepukiki. We learn to control it as we age.
 
Tusamehe bure babu

Siyo suala la kuwasamehe...bali pia kuwaonea huruma. Ninapojiweka kwenye nafasi yenu, najikuta pagumu sana. Nahisi vyeo vyangu vyote na medals ningenyang'anywa kama nikiwekwa kiringeni kwa zama hizi!
 
Kununa noma. Ila wengine ni victims wa ego. Pozi sometimes haziepukiki. We learn to control it as we age.
Dah hakuna kitu kinanoboaga kama kuona mwanaume kununa teh nimemkumbuka ticha mmoja alinifundisha advance, alikua anapenda kusema "mbona umenuna kama nyuma" ha ha ha hata mwanaume akinuna anafanana na nyuma lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom