Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Dah hakuna kitu kinanoboaga kama kuona mwanaume kununa teh nimemkumbuka ticha mmoja alinifundisha advance, alikua anapenda kusema "mbona umenuna kama nyuma" ha ha ha hata mwanaume akinuna anafanana na nyuma lol
Ngoja kwanza. Huyo Ticha muhuni sana, ye kapaonaje huko nyuma?
 
Daah hilo busu refu kuliko hasheem thabit sijui ndo likoje. Na huo uji wa choroko sasa teh
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahh!!!!!
Mbona hilo busu halijafikia hata urefu wa miguu yangu? Afu nimegoma kulipokea, si umetoka kutumind eti "tunakubusu mara tatu nne" teh
 
Mpendwa ni tabia gani lakini hii?
Yani mwanaume mzima anavuta mdomo, sharubu zinajikusanya anakua kama dume la nyau....

Weee mwanaume akinuna anavimba hadi unaogopa, yani kama kuna papai karibu mpe ale lilainishe something something .....anaweza kupupu tikiti ooohhhh

Dah hakuna kitu kinanoboaga kama kuona mwanaume kununa teh nimemkumbuka ticha mmoja alinifundisha advance, alikua anapenda kusema "mbona umenuna kama nyuma" ha ha ha hata mwanaume akinuna anafanana na nyuma lol

Duuh..Yani hata kama nilipanga kununa imebidi nighairi tu..Mtt una balaa ww
 
Hiyo term kununa mnaitumia vibaya, eti mtu katumia hela zangu vibaya nikimuuliza anasema nimenuna. Halafu wanawake wengi wanalipenda sana hilo neno tunavumilia sana ila kuna siku mtu atakula kelubu ya mdomo ili hako kamdomo kavimbe kama kindege ndo tuone nani kanuna sasa
 
Hahahahah... Umetisha kamanda
 
Hiyo term kununa mnaitumia vibaya, eti mtu katumia hela zangu vibaya nikimuuliza anasema nimenuna. Halafu wanawake wengi wanalipenda sana hilo neno tunavumilia sana ila kuna siku mtu atakula kelubu ya mdomo ili hako kamdomo kavimbe kama kindege ndo tuone nani kanuna sasa

Ha ha ha ha acheni kununa bana
 
When he be mackin', it's a sin. When she be flirtin', it's not a scene. But all right. Better them, than we.
[emoji18] [emoji18] it's "tutawabusu tu" and not "nitakubusu tu". I be kissing my man and my dolls will be kissing their gents too... anything wrong darlin?
"All circumstantial, case dismissed"[emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
Hahahaaaa Emmado nakuelewa sana asee hujawahi nichosha kwenye nyuzi zako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom