Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

famicho

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2,218
Reaction score
2,919
Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi sijui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine. halafu mbele za watu unaniita mpumbavu unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako...

Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani haiwezekani, haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa.

Tukutane kwenye kutangaza matokeo #2020

Nawasilisha!!!!
 
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
 
Duh umenifanya nicheke kama mazuri vile
 
Wewe ndiye ded wa Nachingwea???? Pole sana mkuu

DED wa Nachingwea kabla hajateuliwa alikuwa Marekani akifanya kazi…!Wamerekani walimwamini wakampa kazi leo Rais Magufuli anamwambia hajui kazi ANAFANYA KAZI ZA KIPUMBAVU NA ANYWE MKOJO WAKE……!Haya ni matusi makubwa sana kwa mtu mzima tena mtumishi wa Umma!
Inasikitisha sana!
 
Inaskitisha sana!
Huko Marekani alikuwa anafanya kazi ya kipumbavu!
 
‘.. Wapumbavu na vilaza Wakubwa nyie, visibility study ya Chujio tu ichukue Miezi sita unategemea wapiga kura wanywe Mkojo wako?!...’

Wananchi... wanapiga Makofi

‘... Nyie Wana Masasi mliochoma Ambulance na ofisi za Ardhi ni Wapumbavu ...’

Wananchi wanapiga Makofi na Vigelegele..
...wananchi wengi hawajielewi njaa uoga na unafiki + umasikini ndio unaowapumbaza ndio maana wanaitwa wapumbavu wanapiga vigelegele kutukuza upumbavu wao....hakika ni wapumbavu kweli!!
 
Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi...sjui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine... alafu mbele za watu unaniita mpumbavu...unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako... Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani...haiwezekani...haiwezekani

Wahusika akili kumkichwa...

Nawasilisha!!!!
Tutayaona na kusakia mengi ya kipuuzi, ambayo yanakiuka waziwazi misingi ya haki za binadamu, katika utawala huu wa awamu ya tano...

Namnukuu Zitto Kabwe, tumewaweka madarakani washamba na malimbukeni. Full Stop
 
Jamani kuna pahala tunafeli JPM yupo sawa.Asante JPM nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe. Ni imani yangu ipo siku atabariki katiba bora.
 
Yamekua mapya Haya? Tunaongozwa na chizi bado maswali ya nini? Tuvumiliane lakini tukipata wasaha tuchukue hatua watanzania CCM sio mama yetu mzazi wala wakufikia tuwakatae sauti zetu hatakama hazitaheshiwa zitasikika.
 
Mm binafsi naona ni dharau kubwa sana

Niwaombe Watanzania wenzangu huyu ndugu dereva wetu awahishwe hospitali ya MILEMBE , nikiri hadharani DEREVA anaumwa tukimuacha atatumbukiza gari kwenye shimo tutakufa wote. Mganga mfawidhi wa MILEMBE tafadhali leta ambulance.
 
Back
Top Bottom