Unguja kwetu

Iliku zamani ,sasa kuna magari kama makaburi.

Siku hizo kila na mtu na maisha yake, sasa hv ni vijiwe vya siasa tupu Zanzibar, kuna watu wana ndoto akipata fulani, basi ipo siku Zanzibar itanyesha mvua ya asali, na kila nyumba itakua ina pewa biriani nyama kila siku.......hahaha wanadanganyika sana, na watasubiri sana!
 

Zanzibar is a virgin island...!
 
Kiongozi kwahiyo sasa hivi upo Unguja?

Ukitaka chakula cha bara niambie nikuelekeze uende Kilimani, Unapotokea Kariakoo kwa kuelekea kiwanja cha Ndege kuna Skuli hapo ipite kisha kinafuata Chuo cha mafunzo ujue ndio umefika utapata vyakula vya kibara humo ndani
 
HARUFU nimeshinda unguja leo kosa moja nililofanya nilisahau kubeba hiki kisim!, kwahiyo nimekosa matukio mengi mno hasa ya tupicha twa kupiamo
 
Last edited by a moderator:

Huu wako ni uongo mtupu, hakuna watu ambao wanapenda kujituma katika kufanya kazi kama Wazanzibari, kusema kwamba Wazanzibari wanasubiri fulani apate ili awajaze mapesa mifukoni mwao au awalishe biriani, huku ni zaidi ya kuwazulia uongo Wazanzibari

Wazanzibari wamejaa sehemu zote za Duniani na ni wachapakazi wazuri tu, hata kama hua wanakaa katika vijiwe vya siasa basi ni muda wa jioni baada ya kumaliza mihangaiko yao ya mchana kutwa.

Wacha kupotosha kwa kujifanya unaijua Zanzibar na kumbe huifahamu
 
.

Hayo magari makaburi ndio yapi? Kwenu itakua mnapanda majeneza
 
Alafu namba 9 ilikua ya wapi vile Globu naijua ya kwa jamaa zangu namba 2 manga pwani lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha umejitahidi lol umepapenda?

Kuzuri mno kuna prawns crabs samaki na vyakula bahari wa kiwango cha juu mno! Halafu kumetulia mno nimeenjoy pia msitu wa hifadhi wa kima wekundu na mbega
 
Kuzuri mno kuna prawns crabs samaki na vyakula bahari wa kiwango cha juu mno! Halafu kumetulia mno nimeenjoy pia msitu wa hifadhi wa kima wekundu na mbega

mkuu hukufikika chumvini ??

cc farkhina
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…