cocacolaUmefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?
cocacola
Umefika zako dukani,unataka
kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji
naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama
watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili
kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?
CO..FTA!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Co... cocoa ile yenye maziwa, tena bahati nzuri na wife kaja mpatie turudi zetu home! au siyo honey wangu?