Ungesimama au ungeendelea kukimbia?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari za usiku wananchi wenzangu,nina swali la uzushi kidogo.
Ni hivi wewe umefumaniwa na mke wa mtu na ukafanikiwa kuchomoka kwenye lile vurugu lakini kwa bahati mbaya mwenye mke anaendelea kukukimbiza na panga ili akuulie mbali.
Katika kimbia yako unamuona mkeo kwa mbali naye analiwa denda na jamaa.
Je? utasimama umzingue mshikaji anayemla denda mkeo au utaendelea kukimbia kuinusuru nafsi yako.ɟɟo ƃoןɐu
 
mm sio men ila ningeendelea na kukimbia kwangu then mama akija home tutamalizana ju kwa ju.........kwanza uhai loh!
 
Kama ikikutokea siku moja nakushauri ufanye yote kwa mpigo.Yaani unamzingua huyo mla denda la mkeo na wakati huohuo uko kwenye marathon mbaya kuokoa nafsi yako
 
Kama ikikutokea siku moja nakushauri ufanye yote kwa mpigo.Yaani unamzingua huyo mla denda la mkeo na wakati huohuo uko kwenye marathon mbaya kuokoa nafsi yako
sasa huoni kwamba nitapunguza kasi ya kuweza kukamatwa na mshikaji?Nalog off
 
sasa huoni kwamba nitapunguza kasi ya kuweza kukamatwa na mshikaji?Nalog off

Hamna kupunguza kasi hapo.Unakuwa na kasi kama ya UMSLOPOGAS!Unapiga kumbo wale hadi waende chini.Wakati watu wanashangaa binadamu wawili wanavyoenda chini wewe unaendeleza mbio ndefu lakini kwa speed ya mbio fupi kama Filbert Bayi.Hapo utakuwa umefanikiwa mambo mawil:
1.Utakuwa umetibua program ya mla denda.
2.Utakuwa umepunguza kasi ya mkimbizaji wako maana hata yeye itabidi abaki kushangaa akidhani wewe ndiye ulieanguka.
Mambo ya kesi na my wife wako baadae nyumbani huko.
 
wazinzi bwana!!! Unaacha kuikimbia dhambi ya zinaa unabaki kukimbia panga?
Back to your question:-
naendelea kukimbia nikifika kwa jamaa anae mla denda mke wangu, namzaba bonge la mbata, halafu naendelea kukimbia.
Ila huyo anayemla denda mke wangu atajua nimerukwa na akili, maana nitakuwa uchi wa mnyama baada ya fumanizi.
Yeye atainuka kutoka hapo chini, na kuendelea kumla denda my mama watoto wangu.
 
Haya wanaume mko wapiiiiiiiiiii au tuwasaidie kujibu? msione sooooooooo hamtoonekana wazinzi nyie jibuni tuu bila wasiwasi!!!!
 
Ingekuwa mimi ni man, ningesahau nafukuzwa ili nikamshughulikie mgoni wangu!
Ndivyo wanaume wanavyofikiria kuwa wanaweza kula vya watu ila vyao haviguswi lol
 
Hamna kupunguza kasi hapo.Unakuwa na kasi kama ya UMSLOPOGAS!Unapiga kumbo wale hadi waende chini.Wakati watu wanashangaa binadamu wawili wanavyoenda chini wewe unaendeleza mbio ndefu lakini kwa speed ya mbio fupi kama Filbert Bayi.Hapo utakuwa umefanikiwa mambo mawil:
1.Utakuwa umetibua program ya mla denda.
2.Utakuwa umepunguza kasi ya mkimbizaji wako maana hata yeye itabidi abaki kushangaa akidhani wewe ndiye ulieanguka.
Mambo ya kesi na my wife wako baadae nyumbani huko.
Sasa my wife wako utamsomea kesi gani? Nalog off
 
Sasa mkuu ukienda kuhangaika na wife si utajiongezea misala tu! Coz yule anaekukimbiza atajua kama huyo ni wife wako as atakukuta pale mnavutana, sasa huwezi jua je akitaka kukulipizia kwa mkeo afu we akusamehe? So mi hapo ntakimbia tu ila nitaukariri huo mtaa niliomfuma wife, nkifika hom na kupoa wife akirudi atanikuta nshapoa mixer nmechange nguo ndo tutaanza mahojiano!
Ataipenda, ntamtajia hadi mtaa nilipomfuma na beat kibao "mi nina wapelelezi kila kona, mi nakuangalia tu kila siku"
hapo vipi? Nalog off lol
 
Back
Top Bottom