Ungesimama au ungeendelea kukimbia?

Sasa mkuu ukienda kuhangaika na wife si utajiongezea misala tu! Coz yule anaekukimbiza atajua kama huyo ni wife wako as atakukuta pale mnavutana, sasa huwezi jua je akitaka kukulipizia kwa mkeo afu we akusamehe? So mi hapo ntakimbia tu ila nitaukariri huo mtaa niliomfuma wife, nkifika hom na kupoa wife akirudi atanikuta nshapoa mixer nmechange nguo ndo tutaanza mahojiano!
Ataipenda, ntamtajia hadi mtaa nilipomfuma na beat kibao "mi nina wapelelezi kila kona, mi nakuangalia tu kila siku"
hapo vipi? Nalog off lol

Ukute naye kakuona umekumbatia suruali kwapani unakimbia mibio hiyo bila hata viatu lol....
Sijui utamwambia nini!
 
wazinzi bwana!!! Unaacha kuikimbia dhambi ya zinaa unabaki kukimbia panga?
Back to your question:-
naendelea kukimbia nikifika kwa jamaa anae mla denda mke wangu, namzaba bonge la mbata, halafu naendelea kukimbia.
Ila huyo anayemla denda mke wangu atajua nimerukwa na akili, maana nitakuwa uchi wa mnyama baada ya fumanizi.
Yeye atainuka kutoka hapo chini, na kuendelea kumla denda my mama watoto wangu.
Hahahaha ndugu unakuwa umeununua ugomvi mwengine mpya,kwahiyo unazidi kujiongezea matatizo. Nalog off
 
Sasa mkuu ukienda kuhangaika na wife si utajiongezea misala tu! Coz yule anaekukimbiza atajua kama huyo ni wife wako as atakukuta pale mnavutana, sasa huwezi jua je akitaka kukulipizia kwa mkeo afu we akusamehe? So mi hapo ntakimbia tu ila nitaukariri huo mtaa niliomfuma wife, nkifika hom na kupoa wife akirudi atanikuta nshapoa mixer nmechange nguo ndo tutaanza mahojiano!
Ataipenda, ntamtajia hadi mtaa nilipomfuma na beat kibao "mi nina wapelelezi kila kona, mi nakuangalia tu kila siku"
hapo vipi? Nalog off lol
Hapo poa. Nalog off
 
Ingekuwa mimi ni man, ningesahau nafukuzwa ili nikamshughulikie mgoni wangu!
Ndivyo wanaume wanavyofikiria kuwa wanaweza kula vya watu ila vyao haviguswi lol

Hapo kwenye black, kuongezea zaidi wamesahau ya kuwa "muosha huoshwa":eyebrows:
 
Wanaume wanaochukuwa wake za watu, nitawajua leo kupitia huu uzi.................... Haya leteni maujanja, eh mngefanyaje vile!?
 
Mbinu za mapambano hupatikana kwenye uwanja wa mapambano; siku nitakapofumaniwa na mimi kufunia (what a coincidence!) ndo nitajua la kufanya. Btw, sitarajii kufumaniwa hivi karibuni!
 
denda kitu gani!!we ulikuwa unajisevia kiukweli ijekuwa yeye denda? yaani kama ilikuwa low unagonga high
 
he he he ntaendelea kukimbia hila lazima nijipitishe hapo anapoliwa denda wife ili ajue huko nyumbani kutakuwa na soo linamsubiri
 
Hili swali lakiume zaidi, ila kwa muonekano naona haviingiliani, we ulie fumaniwa ingekua imekula kwako hata ungeenda kulianzisha kwa mwizi wako, usingeliepuka panga la ulie muibia bora uendelee kuzifukua mbio. Maana umekula cha mwenzio acha na chako kiliwe.
 
sasa hiyo familia ya wazinzi walioana kushare kodi ya nyumba tu au nini, coz wote wanaonekana hawaridhiki ndani kwao::Ni bora waachane tu kwa kuwa wote hawakupata muda wakutosha kabla ya kuishi pamoja siyo kuoana, wakangonoike huko mitaani siku wakichoka warudi waoane ndoa ya ukweli,

Nimepita tu
 
Ujana unawaponza,kila ukionacho wataka kiwe chako,kila usikiacho,wataka kukiona kwa macho. Nalog off
 
Hili swali lakiume zaidi, ila kwa muonekano naona haviingiliani, we ulie fumaniwa ingekua imekula kwako hata ungeenda kulianzisha kwa mwizi wako, usingeliepuka panga la ulie muibia bora uendelee kuzifukua mbio. Maana umekula cha mwenzio acha na chako kiliwe.
Analipa hapahapa duniani. Nalog off
 
Mbinu za mapambano hupatikana kwenye uwanja wa mapambano; siku nitakapofumaniwa na mimi kufunia (what a coincidence!) ndo nitajua la kufanya. Btw, sitarajii kufumaniwa hivi karibuni!
Vipi mume wake kasafiri nini? Nalog off
 
Back
Top Bottom