masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,384
- 19,308
- Thread starter
-
- #21
anayenipenda maana yale maloveee yake najikuta nampenda
bora anaenipenda ukipenda unakua mtumwa bt huyo anaenipenda akidhi terms and condition
mara nyingi hana vionjo vyako unakuta anakupenda tu na hana vigezo unavyotaka alichonacho ni kimoja tu kukupenda
duh asee hao hua nawapotezea tu japo atakugandaaa ukiwaza unaona dah ngoja nimzingue aende kuna mmoja nilmdanganya mpo12 na ww ni wa 11 akaishiwa nguvu akaniacha kiulaini tu.
na huu mara nyingi ndo ukweliWengi tutasema atakaekupenda ndio utamuoa ila ukwel unabaki mapenzi upofu uwez kumfuata anaekupenda wakati huo kuna mtu ndio umempenda kupitiliza
ndo maana nasema eti kwa kuwa tu anakupenda haiwez kuwa reason ya wewe kumuacha unaempenda
toa stress zako hapa za ukawavyovyote vile mradi tu kuwa nae
SINA IMANI NA UKAWA
wanadamu huwa hawana shukrani ukimpenda kwa moyo lazima akuzinguemh yaani mapenz smtime ni shida tu japo mm nikmpenda mtu akanisumbua nikipata mwenye viwango vya kumkarbia huyu anaenisumbua nampga chini uyo ninaempenda maana cku iz watu wakipendwa wana shobo za kipuuzi ad unashangaa. Sm time Maasai la kuvunda halina ubani au sio?
ni mimi mkuuu eid mubarakMrudishie masai dada device yake tafadhali. Ana mada zake humu, hizi sio style yake kabisa.
masai dada sku hizi maswali yako n ya utata mpaka nashindwa kukuelewa umepatwa na nn
Huh! Ok.
Eid Mubarak yourself bana.
umefinya maeneo gani pilauu shemeji amepika,????
kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??
anaekupenda au unaempenda
kwa mfano ungepata nafasi kati ya yule unaempenda sana na yule anaekupenda sana uchague yupi akuoe ungechagua yupi
unaweza kumuacha unaempenda kwa sababu ya anaekupenda?