Ungependa ufanye nini kabla ya kufa?

Ungependa ufanye nini kabla ya kufa?

just to get an hour of conversation with an angel from heaven..I GOT A PLENTY OF UNANSWERED QUESTIONS..LOT OF THINGS STILL A MYSTERY .....
 
Kuwalea na Kuwakuza watoto wangu na kuwaacha wakiwa wamesimama katika msingi imara wa maisha
 
Daah!
Aisee mii nilipenda nijenge Kanisa!
Hata kama nikishindwa kujenga walau basi nitoe angalau kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa KANISA.
 
Daah!
Aisee mii nilipenda nijenge Kanisa!
Hata kama nikishindwa kujenga walau basi nitoe angalau kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa KANISA.

Navoona watu mna response za ku-save watu basi nimerudisha imani yangu kwa wanadamu, ilikua imepotea kabisa
 
I wish Mungu anipe uzima one day ndoto yangu ya kufungua kituo cha kulelea watoto yatima,naumia sana ninapoona watoto wadogo mitaani,wakiwa ombaomba basi tu, nawapenda sana watoto.
 
Back
Top Bottom