Ungependa rais afanye nini kipindi kijacho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungependa rais afanye nini kipindi kijacho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mutensa, May 19, 2010.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,
  Mimi ni mtanzania ninayependa maendeleo ya nchi yangu na mtazamo chanya wa mambo. Naomba nitumie post hii kutoa wito kwenu mtakaobahatika kusoma post hii kushauri ni nini hasa uongozi mpya ufanye kwenye kipindi cha miaka mitano ijayo. Yawezekana tunalaumiana kwa sababu hatupeani ushauri mzuri pia.
  asante.
   
Loading...