mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Inategemea na mzigo kifuaniSidiria inaweka mambo sawa wala usipate shida
Jinsi mnavyopenda kuyabana mbona hamshindwi hapoInategemea na mzigo kifuani
Mengine hayakubali hata uyaweke Sawa kifua kinajaa mbaya.Jinsi mnavyopenda kuyabana mbona hamshindwi hapo
Madera yanahusika hapoMengine hayakubali hata uyaweke Sawa kifua kinajaa mbaya.
Isha mashauzi una mfahamu au Hadija Yusufu unaonaje akivaa dera kifuani kunakuwaje ukweli ni kwamba titi likuwa kubwa kifuani ni sawa na pembe la ng'ombe alifichiki.Madera yanahusika hapo
Huu ni mji mkuu(makao makuu) ya nchi fulani, siikumbukiHiyo Nchi ya Conakry ni mpya kwangu [emoji848]
Hivyo hivyo tu maana hamna namna.Isha mashauzi una mfahamu au Hadija Yusufu unaonaje akivaa dera kifuani kunakuwaje ukweli ni kwamba titi likuwa kubwa kifuani ni sawa na pembe la ng'ombe alifichiki.
Huo ni mji mkuu wa GuineaHiyo Nchi ya Conakry ni mpya kwangu 🤔
GuineaHuu ni mji mkuu(makao makuu) ya nchi fulani, siikumbuki
Shukrani mkuuHuo ni mji mkuu wa Guinea