Ungependa kukutana na nani 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungependa kukutana na nani 2010?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Preta, Jan 1, 2010.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Mwana JF, Great thinker na mdau, ungependa kukutana na nani au wa kina nani either ndani ya nchi yetu au nje ili uweze kuwashauri, kuwakosoa, kuwatia moyo au kuwarekebisha ili mwaka 2010 uwe mwaka wa mafanikio, kuepuka makosa yote ya mwaka 2009 na kufikia malengo halisi yaliyowekwa kwa ajili ya mwaka 2010
   
 2. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hakika ningependa kuendelea kukutana NAWE kwanza hata kama ni kwa kuandikiana maana nadhani kwamba kusudi lako ni jema kwa ajili ya ustawi wa mwanadamu. Ninakusifu sana kwa kufikiri juu ya hili. Hata hivyo nitamke tatatu :-

  Pamoja na mambo mengine nikutanapo nawe tutajadiliana nawe,

  1. Ni namna gani itawezekana kufanikisha zoezi hili la kuwakutanisha (pengine vema tuseme kuwezesha mawasiliano) na watu ambao kila mtu atamhitaji ndani na nje ya nchi.

  2. Nitajitahidi kurekebisha msimamo wako ili makutano (mawasiliano hayo) yasionekane kuwa na uelekeo mmoja tu wa MIMI AU SISI KUSHAURI / KUKOSOA / KUREKEBISHA bali inawezekana kuwa pia kuwepo hitaji la mimi au wewe au sisi KUSHAURIWA/ KUKOSOLEWA / KUREKEBISHWA

  3. Maboresho yanaweza kuwa si tu katika namna shughuli zilitekelezwa bali inaweza kuwa hata katika moja au zaidi ya hayo unayoita malengo halisi yaliyowekwa ya 2010.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni bora nikutane na WARREN BUFFET tu...
  ni mshauri tufanye nae big bizness hapa bongo.
  wengine wote no thanx......
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  that is a good one kama mzalendo utakuwa ni mmojawapo wa wawekezaji wazawa
   
Loading...