Ungependa kufika Jiji lipi kabla hujarudi mavumbini

Superintendent kimura

JF-Expert Member
Feb 24, 2023
222
906
Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Binafsi namomba sana mwenyezi mungu anijalie afya njema kabsa nitafute hela kwa bidii ili siku moja kabla sijarudi mavumbini basi niwe nimefika katika majiji mawili ambayo ninatamani sana kufika ambayo ni

1. Jiji la BOGOTA nchini Colombia
2. Jiji la CANBERRA nchini Australia

Wewe Je ungetamani kufika jiji gani kabla hujarudi mavumbini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom