Rafiki kwa hili nakupenda hata kama chura haipo!😄😄😄Bahari ya Hindi
Kama umenipenda na flatishu yangu nakuja sasa na virago vyangu uko ulipo.ni nadra wenye flatscreen kukubalika bila kipingamiziRafiki kwa hili nakupenda hata kama chura haipo!😄😄😄
JamiiForums ihamishwe kutoka Mikocheni ipelekwe Chato. BaasssssFunguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..View attachment 1676289
😀😀😀Hospitali ya wagonjwa wa akili
Mshana unataka wapelekwe MapakaFunguka bila hofu..mimi ningependa kifuatacho kiwe..View attachment 1676289
Ankali wangu upo sina wasiwasi..akileta uchaguzi tunamrushia kipapai tuAnkal jihadhari na wachafufuzi hasa wakishimundu