Ungemjibu nini huyu mtoto??

Ungemjibu nini huyu mtoto??

jibu: wewe unathamani kuliko vyote ulivyotaja, ila haubebeki kwenda tuendako ndio maana tunakuacha siku za kazi.
 
Mhhhhhh, makubwa ! madogo yana nafuu. Huyo mtoto ni noma mbona
 
Mtoto thaman yake co measurable kwa viwango vya hela. Mtoto anahitaji special closer attentive car mda wote ndio maana wazazi hawaend nae kweny mizunguko yao bali humuacha nyumbani akishinda na Dada wa nyumbani alie aminiwa. Ha ha ha ni hvyo ndugu
 
Mtoto huyo ni wa umri gani??...husikute ana 20's maana mtoto kwa wazazi hakui
 
UNGEKUWA NDIO MZAZI UNGEMJIBU NINI HUYU MTOTO????..


MTOTO ana wauliza WAZAZI wake

"Hivi BABA na MAMA j,, mnaweza kutoa gari na kumpa house girl ??"

WAZAZI wanajibu, "gari letu linathamani sana hatuwezi kumpa house girl"

MTOTO tena ,, "Je; mnaweza kumpa house girl ATM card pamoja na password yake??"

WAZAZI "Ebooos wemjinga nn...(kwa hasira hatuwezi...) anaweza kuiba fedha zote halafu tukawa masikin .. pesa zetu zina thamani na malengo.."

MTOTO "vyenye thamani vyote hamtaki kumuachia house girl... mbona mimi mnaniacha na hous girl kwani, mimi sina thamani wala malengo yoyote kwenu?

Maswali ya kufikirisha sana.
 
Back
Top Bottom