saddyy
Member
- Dec 28, 2014
- 58
- 54
UNGEKUWA NDIO MZAZI UNGEMJIBU NINI HUYU MTOTO????..
MTOTO ana wauliza WAZAZI wake
"Hivi BABA na MAMA j,, mnaweza kutoa gari na kumpa house girl ??"
WAZAZI wanajibu, "gari letu linathamani sana hatuwezi kumpa house girl"
MTOTO tena ,, "Je; mnaweza kumpa house girl ATM card pamoja na password yake??"
WAZAZI "Ebooos wemjinga nn...(kwa hasira hatuwezi...) anaweza kuiba fedha zote halafu tukawa masikin .. pesa zetu zina thamani na malengo.."
MTOTO "vyenye thamani vyote hamtaki kumuachia house girl... mbona mimi mnaniacha na hous girl kwani, mimi sina thamani wala malengo yoyote kwenu?