Ungelikuwa wewe ungefanya nini hapo?

Ungelikuwa wewe ungefanya nini hapo?

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Jamaa anamatatizo kaingia kwa daktari
JAMAA=dokta ninatatizo huku chini
DOKTA=hebu vua tone
JAMAA=navua ila usunicheke ,plz dkt
usinicheke
DOCKTA=usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi
kumcheka mgojwa ,jamaa akavua suruari
kuonesha DUSHELELE(¡) yake ,basi dokta
kuona ustaarabu ukamshinda akaanza
kucheka kama dk3 hadi machozi yakamtoka
kwani DUSHELELE(uume) ya jamaa ni kadogo
kama betrii ya AAA(betrii za remote ya
TV)daktari alipomaliza kucheka mazungumzo
yakaendelea
DOKTA=enhee tatizo nini
JAMAA=imevimba toka juzi ,,dokta akazimia
pale pale
 
Wakati mwingine unajikuta macho yameshasoma hadithi za kipuuzi ila ukashindwa kukataza ubongo kutoendelea kwa kutaka kujua hitimisho!
 
Wakati mwingine unajikuta macho yameshasoma hadithi za kipuuzi ila ukashindwa kukataza ubongo kutoendelea kwa kutaka kujua hitimisho!
usijute mkuu ..umbea unaanzia machoni ..ubongo na mdomo ni watekelezaji tuu
 
Daaah...!!!! leo nimecheka sana baada ya kuskia kijistory kilichomtokea rafiki wa rafiki yangu... Rafik yangu kanipa umbea juu ya rafiki yake kwamba jamaa alikuwa alikutana na demu sm where wakaanza kubishana kiutani zaid coz wao ni watani tuu na sio wapenz ,mjadala ulikuwa hivi
JAMAA-"Vip dogo ?"
demu- "nani dogo WEEEE ....!!! unipatiii we mtoto mdogo kuwa na heshima"
jamaa "Kwa kipiii ulicho nacho "
Demu- "wewe huwezi kunit..o.m.ba mimi"
jamaa "hahaaha a kwanza hata ukivua nguo me ngoma haiendi mnara"
demu "wewee me natembea na mtu kama baba yako au unataka siku unikute na baba yko"
demu "mhh tuweke kidau nakuvulia nguo usipo d..in.nda ?"
jamaa "hahaaa ahhha ukiweza nakupa elfu tano"
demu "twende kule sasa (mjumbani) "
jamaa "twende na ole wako usivue"
baada ya kufika mjumbani sasa yule jamaa akatoa/mpa hela Elf 5 na demu akavua nguo moja baada ya nyingine ..jamaa anamuangalia tuu 3G hamna kitu hadi yule demu akavaa nguo zake
jamaa "si umeona me nilikwambia hata ukae uch.i vp si di.nd.i ng'oo haya rudisha hela yngu(kwa sauti)"
walivyotoka pale mjumbani et jamaa anajisifu wakati hata hela yake hajalipwa na huku kashinda gemu.. akaanza kumsimulia rafiki yangu na rafiki yangu akaanza kunisimulia mimi na mimi nimewatonya nyie hiv huyu jamaa karogwa au ndio sifa za kijinga?
nina mashaka kama kweli hiyo ilikua ni 3G? ITAKUA ILIKUA NI 1G ndo mana haikudinda daaah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom