C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,Daktari : Hebu vua nguo tuone,Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka. kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,Daktari : enhee Tatizo ni nini???Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,Daktari Akazimia pale pale,,,,,,