ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mwa chando

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
359
122
ebu jenga picha. Ni asubuhi unaamka halafu unakuta umevalishwa pete ya dhahabu kidole cha pili kisha kwenye mto ipo karatasi ina ujumbe unaosomeka "nakupenda sana kwa penzi ulilonipa usiku wa leo na nikaamua bora nikuvishe hiyo pete, ni mm nikupendae POPOBAWA" Jee! utachukua uamuzi gani wa haraka?
 
Angalau hilo jina popobawa lisingekuwepo kidogo ungeweza ukilifikiria positively
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom