govi anaweza kumshawishi likatolewa
ishu ni kile kihamasishi cha mtt wa kike hakirudishiki
mwanaume akubali matokeo tu no way out!!
niliambiwa kinaitwa king'amuzi......
My dia kwa zama za sasa ukiona mtu anajidai ashirikiani kimapenzi mpaka ndoa ujue kuna kasoro kama hizo.... Wanajua akikigawa before ndoa atakimbiwa...
Bytheway... Ukishakutana na mtu mwenye hiyo hali kama ni mwanamme utaweza kumshawishi akajivue gamba kama ni mke hapo mmmh...!! Itabidi kidume atumie maujuzi mengine ili aweze kumpa raha bidada.... Ila hala... Hala... Asije akaingia jicho la3
huo huo naona umetumia tafsida
niliambiwa kinaitwa king'amuzi......
Au kinetwek!
Najua kufanya ngono ni dhambi. Ila kuchunguliana kwa ni dhambi?
Naomba mwongozo tafadhali.
niliambiwa kinaitwa king'amuzi......
Na je kama ni wewe umemficha na yeye kakuficha kisha kuingia ndani unamkuta ana inchi 12 utafanyaje..??
Duh...mbona itabidi nipewe Tuzo ya mwanariadha bora?....Nduki balaa