ungekuwa wewe ungefanyaje/

Yawezekana ni kweli alikuwa nazo, isipokuwa ukumbuke saa aliyokupangia mungu ikifika, hakuna awezaye kukuongezea hata chembe ya dk.Hivyo dogo kubali yaishe!
Junior Member paranawe inavyoonekana hata baba yako unamwita dogo kwa utovu wako wa heshima. Hata ambaye hujamuona na wala humfahamu vizuri kwako ni dogo. Jiangalie, kama huna hoja pisha wakubwa zako wajadili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…