Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Wanawake kama unafanya nae Kazi au mkiwa marafiki wanakua na akili ila mkidate tu gafla anaanza kutumia utelezi kufikiri
 
Naunga mkono hoja
 
Sioni kitu unachosubiri apa brother. Onto the next one.
 
Endelea tu kumchekea utakipata huyo ni kadi nyekundu mazima bila msaada wa V.A.R
 
Fanya mpango upime DNA kuhakikisha watoto kama ni wako kweli baada ya hapo haijalishi majibu yatakuja vipi mtoe mbio hata kama ni kwa upanga na marungu huyo ni shetani kwenye umbo la binadamu
 
Once a cheater, always a cheater

Ukishajua kakucheat piga chini hapohapo usimsikilize hata aombe msamaha, alie machozi, apige magoti au ajigalagaze hapo chini.

NAKAZIA: Usimpe nafasi ya kumsikiliza
Ampe tu. Huwa wakati mwingine anakutajia na wengine,unakuwa na uhakika asilimia zote kwamba keshashindikana. Labda amepata anaempenda zaidi.
 
Timua kahaba huyo mkuu...Mwanamke asiyefunga miguu sio wa kulea ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…