Ungekuwa wewe ungefanyaje kwenye hili?

Ungekuwa wewe ungefanyaje kwenye hili?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,282
Yangekutokea wewe mwana JF ungefanyaje kuamua hili.

Screenshot_20210529-170243.jpg
 
Hapa inaonekana kila mmoja amekuwa siyo mwaminifu Kwa kipindi Fulani . Lakini inaonesha wote wanatafuta faraja ambayo kimsingi inapatikana kwao wote.
 
Mnapiga mtanange m1 mkali sana tena uwanja wa ugenini, then mnarudi kambini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo nyege na nguvu mnazitoa wapi?

Fedheha, aibu, kudhalilika,

Kibaya zaidi Hofu kubwa kwa kila mmoja kuhisi nini kipo ndani ya mwenzake
 
Napiga mzuri, tunarudi home, kama vile hakuna kilichotokea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom