Ungekuwa wewe ungefanyaje au ungejibuje kwenye hili?

Wanawake au mademu wazur hyo ndo kawaida yao,akil zao zote zpo kwenye hips na yako,hata mim demu wangu huwa aktoka huwa anakuja kunisimulia jins wanaume walvyo kuwa wanamshangaa na kumsifia,mwanza nilikuwa nazan syo kwel ila ishatokea kama Mara mbili nikiwa nae tunapta walipo wanaume nkawa naona vdemu vnaduwaa na wengne niliwah kuona wanapga miruz ndo nkaamin

Sasa ulipoamini kuwa anasifiwagwa ndio ikawaje ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom