Ungekuwa wewe je ungefanya nini?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Kulikuwa na shindano la familia yenye watoto 10 itapewa zawadi ya tshs milioni kumi..baba mmoja mwenye watoto tisa akamuita mkewe na kumuomba samahani kuwa ana mtoto wa nje mmoja hivyo akamchukue ili kutimiza idadi wanyakue donge nono.mkewe akakubali na jamaa fasta akaenda nyumba ndogo kumchukua mwanae,alipofika home akakuta nyumba nyeupee kumuuliza mkewe watoto wako wapi mkewe akajibu "baba zao wamekuja kuwachukua"
 
imewahi kutolewa so ni marudio

Kulikuwa na shindano la familia yenye watoto 10 itapewa zawadi ya tshs milioni kumi..baba mmoja mwenye watoto tisa akamuita mkewe na kumuomba samahani kuwa ana mtoto wa nje mmoja hivyo akamchukue ili kutimiza idadi wanyakue donge nono.mkewe akakubali na jamaa fasta akaenda nyumba ndogo kumchukua mwanae,alipofika home akakuta nyumba nyeupee kumuuliza mkewe watoto wako wapi mkewe akajibu "baba zao wamekuja kuwachukua
 
:whoo:kama vile inachekesha flani hv........................................................:whoo:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom