Ungefanya nini?

Ungefanya nini?

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
Sare sare hiyo
 

Attachments

  • 1433340770524.jpg
    1433340770524.jpg
    25.7 KB · Views: 1,110
Ni kuaga natoka kdogo then natafuta duka la nguo la karibu nabadilisha fasta bila kuchelewa ila dah ni ngumu kumeza
 
Kwanza mi siwezi kwenda kwa wakwe nimevaa pyjamas
 
Kosa sio lako ni la demu wako,maana kwa nini hajakuambia kuwa kwao kuna pazia kama nguo zako?
Cha kufanya ni kusepa fasta na kumpiga chini huyo demu utapata mwingine tu....dadeki!
 
Back
Top Bottom