Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

Ninaomba kabisa nikubaliane na MBALAMWEZI HAPO JUU, Kubwa la kufanya ni kuhakikisha kuwa kila sector inakuwa na "GOOD GOVERNANCE' from the heart na mind set hii ianzie "UPSTAIRS TO DOWNSTAIRS"
 
1. ningeanzisha mradi mkubwa wa umwagiliaji utakaowezesha heka laki 3 kupata maji na kulimwa kwa misimu 3 kwa mwaka.
Ningewakopesha wananchi hasa vijana pembejeo na kuwagaia heka 3 kila mmoja ili wazalishe na kurudisha pembejeo nilizowakopesha na waanze kujitegemea.
Kwa kufanya hivyo ningekuwa nimezalisha ajira zaidi ya laki moja.
2. Ningekopa fedha sh trilioni moja nifufue viwanda vyote vilivyokufa na kutafuta wawekezaji wazalendo wa kuviendesha ambapo serekali ingekuwa na hisa asilimia 49.
Kila muwekezaji sharti anunue hisa 51% zilizobaki ndio nimpe kiwanda.
Fedha zitakazopatikana zitajenga viwanda vipya na kuanza kulipa deni.
Hapo mitakuwa mimeongeza vyanzo vya kodi na kutoa ajira zaidi ya elfu kumi.
3. Ningeongeza kodi kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ambazo tunazizalisha na ningefuta misamaha ya kodi isiyo na tija kwa taifa.
4. Ningeimarisha idara ya cag na kumpa nguvu na uwezo zaidi wa kukagua mashika na taasisi zote za serekali hata ambazo tuna hisa 49%.
Pia ningeifumua pccb na kuisuka upya na kuwaondoa vilaza wote akiwemo dr hosea.
5. Ningetenga bajeti maalum kuimarisha sekta ya elimu na afya kwani bado zinachangamoto nyingi licha ya mafanikio zilizopata.

Ninamengi ya kuandika ila ngoja niishie hapa na wengine wachangie.

Bila umeme wa kuaminika hivyo viwanda vyako ungevifanyaje?
 
Nakubaliana na MBALAMWEZI HAPO JUU, ila kwa kuongeza ama hayo ailiyosema naona NINGEUNDA SERIKALI YENYE KUELEWA UWAJIBIKAJI WA UKWELI SIO UTANI, KWA MIFANO HAI KAMA RWANDA NA SINGAPORE....!! REAL GOOD GOVERNANCE NA KUHAKIKISHA NCHI YANGU INAKUWA 0% RUSHWA FREE.....CORUPTION FREE COUNTRY..MENGINE YOTE YATAKWENDA SAWA...ASKARI UPUUZI WA WIZARA YA ARDHI, TRAFFIC,FFU, HALMASHAURI ZA MIJI NA WILAYA NA MENGINEYO.
 
kila la heri
 
Ningefanya haya: [LIST=1 said:
[*]Natangaza hali ya hatari (state of emergency)
[*]Nasimamisha katiba (Suspend the contitution)
[*]Navunja bunge
[*]Nasimamisha shughuli zote za kisiasa ikiwemo CCM
[*]Halafu natawala mpaka nichoke
[/LIST]
Ningefanya km hayo hadi kipengere cha nne, kuacha kipengere cha tano, na badala yake kuongeza vipengere vifuatavyo:..
5. Ningekusanya maoni ya kuundwa kwa katiba mpya ambayo ningehamasisha mfumo wa vyama vingi ambavyo badala ya kutegemea ruzuku kutoka serikalini vijiendeshe kwa kutegemea michango ya wanachama ili kodi za wananchi zitumike kwa shughuli za serikali.
6.Ningehamasisha wananchi wakubali kupitia katiba yao kuwa baraza la mawaziri liundwe kwa kuchagua watu wasio wabunge ambao wamebobea katika fani husika.
7. serikali za mitaa zitapewa uhuru wa kujiendesha na kujitafutia vyanzo vya mapato (autonomy), na hivyo uwezo na haki za kuajiri na kufukuza wafanyakazi wake tangu wa juu hadi wa chini.
8. Ningeweka baraza la mawaziri la serikali kuu kuwa dogo sana kwa ajili ya kushughulikia mambo ya kitaifa km ulinzi, uchumi, mambo ya nje nk. kwani serikali za majimbo zikiwa imara hakuna haja ya kuwa na lundo la mawaziri na makatibu wakuu.
10. fisadi, mwizi, na mhatarisha usalama na amani ya nchi yeyote, awe kiongozi wa siasa, wa dini hata raia wa kawaida atakutana na mkono wa chuma bila kupepesa macho.
 
1. Ningevunja bunge.
2. Nchi ingekua chini ya marshal law kwa muda usiojulikana.
3. Ningevunja mikataba yote ya ndani na nje ya nchi halafu ningewaita wadau watakao kubali masharti yetu tukae upya.
4. Ningepiga marufuku vyama vyote vya siasa na watendaji wake ningewachagua viongozi katika baraza langu la mpito.
5. Mpinzani yoyote nitamficha kusiko julikana ila sitawaua.
6. Nitaboresha mfumo wa elimu wa vyuo vikuu iwe kama china. Kila kitu tuanze kutengeneza wenyewe.
7. Ellimu na afya itakua bure kwa watu wote. Serekali itagaramia hivyo.
8. Uchumi wa nchi hautategemea kodi za walalahoi, ila wafanyabiashara wakubwa.
9 .hakutakua na mfumo huria wa kupanga bei za mahitaji muhimu.
10.Mahitaji muhimu kama umeme na maji yatasimamiwa na serekali.
11. Serekali itafanya biashara zote kubwa kubwa nchini ili ndio vyanzo vya mapato.
12. Sera ya umiliki wa ardhi itabadilika. Kila raia anufaike na chochote kitakacho gunduliwa kwenye ardhi anayo imiliki kihalali, kama arabuni.
13. Wanafunzi wote na askari watapanda mabasi na vyombo vya usafiri bure.
14. Wafungwa watafanya kazi katika viwanda na kilimo. Na watalipwa mshahara maalum kulingana na juhudi zao, mshahara ambao wanaweza kununua tena uhuru wao kwa baadhi ya makosa.
15. Mafisadi, watafilisiwa malizao zote. Na wateenda gerezani kutumikia jamii.
Kwa leo tuishie hapo.
 
namba 5 mbona hatari?
 
Ba'rizmoja bhana! Yaani umeamua kutafuta ushauri wa kuendesha nchi hapa jf.. Umeshapata ushauri na utekelezaji wake ni wa siku 30 tu! Wewe umekaa miaka 6. Ule wa saba siuhesabu kwa kuwa ulikuwa unapasua anga; umefanya nini? Fanya maamuzi magumu now!
 
haya ni maoni yangu binafsi wala JK hanijui nami namjua vile ni Rais tu. Hajui kinachoendelea japo nina uhakika maoni yetu yatamshtua na kumfungua macho
 
kila mmoja wetu nadhani kwa njia moja ama nyingine ameguswa na matukio ya kila aina yanayotokea hapa nchini. Watu wengi wamekuwa wakirusha lawama za kila aina kwa mh. Jk. Sasa inawezekana kabisa hapo alipo amezidiwa na hajui afanye nini kwani aidha washauri wake wakuu wanamuangusha ama hawasikilizi au inawezekana pia, wote hawana mikakati yoyote. Inawezekana kabisa wanaona nchi inavyokwenda ni sahihi kabisa.sasa je mwana jf, ungefanya nini katika kipindi cha mwezi mmoja tu ambacho ungejaliwa kuwa rais wa nchi hii? Only constructive suggestions and opinions are needed na wala si utani na matusi kwani tunakusanya maoni tuyafanyie kazi.
karibuni kuchangia.:welcome:​
washauri wanamwngusha? ..hizi bangi!
 
Ninge-outsource baraza la mawazirina watendaji wote wa serikali kutoka nchi za wenzetu zilizoendelea, kama Ujerumani, uingereza, marekani na kadhalika. Baada ya miaka 10 ndo ningeweka wabongo sasa waendeleze pale wazungu wenye akili walipofikia!
Asante
 
ningekaa chini na jw wote na ili tuweze kuangalia upya kama kuna uwezekano wa kufuta jeshi la polisi na na bajeti yao kuongeza mishahara ya walimu
 
1. Ningevunja Baraza la Mawazili na kuajili mawaziri wapya kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
2. Ningetangaza kufuta mikataba yote ya madini na kuweka mipya yenye maslahi kwa Taifa.
3. Ningevunja TAKUKURU na TISS na kuunda vyombo vipya huru vyenye wawakilishi kutoka Taasisi huru na wataalamu waliobobea.
4. Ningefufua Mwatex, Kilitex, Mutex na viwanda vingine vikubwa na kufuta ushuru wa mazao yanayouzwa nje.
5. Ningevunja Bunge, nikaunda Tume huru ya Uchaguzi na Kufanya Uchaguzi Maalumu wa Wabunge.
 
Mwezi mmoja ni mdogo sana kwa Taasisi nyeti kama ya Urais! Ni muda ambao labda utatosha Kujinyonga.

*Msishangae*.. Namaanisha Kujinyonga.
 
Kila mmoja wetu nadhani kwa njia moja ama nyingine ameguswa na matukio ya kila aina yanayotokea hapa nchini. Watu wengi wamekuwa wakirusha lawama za kila aina kwa mh. JK.
Sasa inawezekana kabisa hapo alipo amezidiwa na hajui afanye nini kwani aidha washauri wake wakuu wanamuangusha ama hawasikilizi au inawezekana pia, wote hawana mikakati yoyote. Inawezekana kabisa wanaona nchi inavyokwenda ni sahihi kabisa.
Sasa je mwana JF, ungefanya nini katika kipindi cha mwezi mmoja tu ambacho ungejaliwa kuwa RAIS wa nchi hii?

Only constructive suggestions and opinions are needed na wala si utani na matusi kwani tunakusanya maoni tuyafanyie
kazi.

KARIBUNI KUCHANGIA.
:welcome:

sidhani kama ni sahihi kupata majibu kwa matukio mbalimbali (ambayo hata hujaya-speficy) ndani ya mwezi mmoja kama raisi, utaishia kutoa solutions nyepesi tu. by the way.... realistically speaking, hakuna uraisi wa majaribio ya mwezi mmoja!

nyingi ya changamoto zinazotokea unapokuwa ni kiongozi katika ngazi hiyo yanaweza kuwa yamesababishwa ama na mfumo dhaifu au watu dhaifu.

so unapoingia madarakani kama raisi:

1/lazima kwanza utafakari namna ya kuteua aina ya watu watakaounda timu (cabinet) unayoihitaji - to be completed 2 weeks after being sworn in as president
2/ you need to impart your philosophy into the new team - completed 1 week after cabinet swearing in
3/kwa kushirikiana na cabinet yako mpya unahitaji ku-review ufanisi wa watendaji mbalimbali waliopo serikalini wakati huo (incumbents) for possible restructuring - 1 month after cabinet swearing in
4/ndani ya kipindi hiki cha mwanzo wa uraisi wako kukiwa na matukio yoyote ya udhaifu kwenye ufanisi miongoni mwa idara au watendaji, refer 3 above.

so you need at least 7 weeks to get rid of any dead wood from your system
 
Ningekuwa nawaita masela wangu mkama,nepi,lusinde na wasira ikulu tunatandika mkeka story tunaanza kumsimanga Dr.slaa na mbowe maana wananiumiza kichwa sana na M4C yao,,,,jamaa wameenda hadi MSOGA na m4c yao...............ninge mwita diamond nimpeleke ulaya bora kuwa promota tu ikulu:bange:
 
Back
Top Bottom