Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

Mwema,chagonja na kamuhanda wangekua ndani toka siku ya kifo cha mwangosi.
 
katiba kwa mwezi mmoja haitoshi ningejipunguzia madaraka ya kikatiba , kwa kuweka viraka ,presidential appointment naanza nao hawa ,ningeteneza sera za usimamizi wa mafuta ,uranium, ningeweka maadili nini rais anatakiwa afanye na nini hatakiwi kufanya kwa miaka mingi mbele ,utaifa ,umoja ,.elimu mfumo uliopo ningeufuta kopy na paste mifumo yenye tija kwa taifa .afya ningepitia mfumo uliopo unakidhi mahitaji ya watanzania ?uchumi ,wataalamu ningeweka policy watumike ipasavyo ndani kwanza.
 
katiba kwa mwezi mmoja haitoshi ningejipunguzia madaraka ya kikatiba , kwa kuweka viraka ,presidential appointment naanza nao hawa ,ningeteneza sera za usimamizi wa mafuta ,uranium, ningeweka maadili nini rais anatakiwa afanye na nini hatakiwi kufanya kwa miaka mingi mbele ,utaifa ,umoja ,.elimu mfumo uliopo ningeufuta kopy na paste mifumo yenye tija kwa taifa .afya ningepitia mfumo uliopo unakidhi mahitaji ya watanzania ?uchumi ,wataalamu ningeweka policy watumike ipasavyo ndani kwanza.

Historia inaonyesha kuwa Hata miaka kumi bado ni kidogo.
 
1. Ningevunja Baraza la Mawazili na kuajili mawaziri wapya kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
2. Ningetangaza kufuta mikataba yote ya madini na kuweka mipya yenye maslahi kwa Taifa.
3. Ningevunja TAKUKURU na TISS na kuunda vyombo vipya huru vyenye wawakilishi kutoka Taasisi huru na wataalamu waliobobea.
4. Ningefufua Mwatex, Kilitex, Mutex na viwanda vingine vikubwa na kufuta ushuru wa mazao yanayouzwa nje.
5. Ningevunja Bunge, nikaunda Tume huru ya Uchaguzi na Kufanya Uchaguzi Maalumu wa Wabunge.


Kampuni ya sigara je? nadhani ungeishauri wazigawe kwenye shule za chekechea au siyo?
 
sidhani kama ni sahihi kupata majibu kwa matukio mbalimbali (ambayo hata hujaya-speficy) ndani ya mwezi mmoja kama raisi, utaishia kutoa solutions nyepesi tu. by the way.... realistically speaking, hakuna uraisi wa majaribio ya mwezi mmoja!

nyingi ya changamoto zinazotokea unapokuwa ni kiongozi katika ngazi hiyo yanaweza kuwa yamesababishwa ama na mfumo dhaifu au watu dhaifu.

so unapoingia madarakani kama raisi:

1/lazima kwanza utafakari namna ya kuteua aina ya watu watakaounda timu (cabinet) unayoihitaji - to be completed 2 weeks after being sworn in as president
2/ you need to impart your philosophy into the new team - completed 1 week after cabinet swearing in
3/kwa kushirikiana na cabinet yako mpya unahitaji ku-review ufanisi wa watendaji mbalimbali waliopo serikalini wakati huo (incumbents) for possible restructuring - 1 month after cabinet swearing in
4/ndani ya kipindi hiki cha mwanzo wa uraisi wako kukiwa na matukio yoyote ya udhaifu kwenye ufanisi miongoni mwa idara au watendaji, refer 3 above.

so you need at least 7 weeks to get rid of any dead wood from your system


Kabla hujaapishwa utakuwa umejipanga tayari.
Tunataka kujua ndani ya mwezi mmoja utakuwa umefanya nini? mwezi ukiisha unaachia ngazi tunaanza kukufanyia evaluation.
Haiwezekani ikawa mwezi mzima hujafanya lolote. Hata yule polisi muuwaji atakushinda?
Tupe mikakati yako, utakapoishia ni hapohapo.
 
kwenye L unaweka R, mura hapa ni hoja tu.
Unatupima akili zetu au,
1. Hakuna RAISI WA MWEZI SEPTEMBER
2. UNAKIUKA IBARA YA KATIBA YA NCHI HII KWA KUTANGAZIA UMMA RAISI WA MWEZI MMOJA.
3. UNADHARILISHA NCHI MAANA RAISI UCHAGULIWA NA WANANCHIA
4. KIPINDI CHA URAISI NI MIAKA 5
6. MODERATOR CONTROL THREAD
 
unanikumbusha filam ya kihindi Nayak iliyochezwa na muigizaji Anil Kapoor, aliigiza kama mwandish wa habar aliyekinzana na waziri mkuu na kumchallenge apewe kiti kwa siku moja tu. Alitimua wala rushwa wote na kuwasaidia masikini. That was just a film, in reality ni ngumu coz urais ni taasis sio mtu mmoja tu
 
Ningewaweka korokoroni wavunjifu wa amani wooote halafu ningewageukia mafisadi na kuwanyonga.Eeeh! ninavunja katiba au?
 
Ningefanya haya:


  1. Natangaza hali ya hatari (state of emergency)
  2. Nasimamisha katiba (Suspend the contitution)
  3. Navunja bunge
  4. Nasimamisha shughuli zote za kisiasa ikiwemo CCM
  5. Halafu natawala mpaka nichoke.halafu strict press cencorship....i will declare myself as a divine ruler.....castrate all homosexuals......construction of concentration camp special kwa viongozi wastaafu......ndafukuza waarabu na wahindi maana ndiyo wahujumu uchumi wakubwa.....
 
in a month ??? i might be the worst president ever...u cant change in Tanzania in a month...swali la kitoto hili>
 
in a month ??? i might be the worst president ever...u cant change in Tanzania in a month...swali la kitoto hili>

Kwa maneno mengine unsubiri swali la kikubwa sio ?, basi msaidie mtoto wako kulijibu hili...teh teh teeeh..!!!
 
Back
Top Bottom