Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Nadhani jibu lako liko out of context.:A S-confused1:
Jibu langu haliko out of context as you think! Ni kwamba nani anajua kama ndiyo rais wa nchi ndiye aliyeagiza polisi kuua raia? kama ni ndiyo yeye angefanya nini?
ila kama hakuagiza hapo ndiyo tungejibu swali lake kirahisi kwa kuwa nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya utawala bora unaozingatia sheria kinadharia!
inatakiwa tuthibitishiwe kuwa serikali haihusiki ndiyo tujibu swali!