beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #41
Nimemuona sana!
Bt refar her Id ndo maana sikuhitaji ku'respond !
Then sikustushwa na tangazo lake la nia , kwakua hapa kwetu ndoa ya Mwanamke kwa Mwanamke haijakubalika !
That's why am remained calmy!
Dah, hiyo ishu yao ni srious na inaumiza sana not kichwa tu, hasa moyo, Mi naomba mshauri huyo binti asahau kwanza habari kuhusi Baba yake now, yaani familia nzima wajisahaulishe kuhusu huyo mtu kwanza, asizungumziwe sana ili wawe bize na maisha yao zaidi, Binti awe makini kwenye masomo yake, akishakaa poa kabisa ajitahidi kutafuta whereabout za Baba yake kimya kimya, kwa internet, kwa kuwasiliana na ofisi mbali mbali za South Africa baada ya kuwapa details zake, Balozi wa Tz South Africa, anaweza angalau kupata uhakika na kujua kuhusu alipo Baba yake, na ikiwezekana kama ana uwezo wa kifedha na Baba yake huko aliko still yuko alive amfuate, amrudishe home kama vipi, but now awe makini na masomo yake na katika kuboresha maisha yake, apunguze mawazo ya huzuni aliyonayo ili yasimtetereshe kwenye maisha yake, awe strong, afight kama soldier, soldier wa ukweli, hapo walipofikia tayari ni pakubwa, wajue Mungu yuko pamoja nao always, na wamuombee Baba yao pia
Nimemuona sana!
Bt refar her Id ndo maana sikuhitaji ku'respond !
Then sikustushwa na tangazo lake la nia , kwakua hapa kwetu ndoa ya Mwanamke kwa Mwanamke haijakubalika !
That's why am remained calmy!
Hahahahahahaha.. Judgement me ni mwanaume rijali kabisa....! duh
afu beibe nasty si tuongee tu wawili lazima unsemee??! Mi kweli nmekupenda..i fell some connection with you and I know, given the chance I will make u happier than u are now! Gimme th chance babe...n u wont regret :busu
Umejuaje lovee jaman?
Huo mbusu hadi utanikata shavuu mmmmh sitaki my jg where are jamn uwiii
My wife , deal na shughuli zako bhanaa!
Mwanamke mwenzio nae akushughulishe? Inahuu...?
Haha...utashtuka when u see feathers...
Tears tears tears darlin thank u for ur advice iwill do dat to help
Judgement, napenda unavyojitetea..mi si ni wa kike mzee...Where's feathers come from ? While fully Kuku's swims in my stomach already ?
Judgement, napenda unavyojitetea..mi si ni wa kike mzee...
ngoja npige stori na shoga angu beibe nasty...mambo shosti!??
Hhaahaaahaahahaaa jaman doreen weweSiku hizi mambo ya utandawazi!, si ngumu sana kutafutana, tofauti na enzi zile za Mtemi Mirambo!
Judgement, napenda unavyojitetea..mi si ni wa kike mzee...
ngoja npige stori na shoga angu beibe nasty...mambo shosti!??
Mi wewe sipati hata mafua! Sikwambii kushtukwa na mshipa!
Even narrow capilaries havistuki.
Msamehe loove