ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Kumbe ndio maana anatetewa na BAVICHAAWala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................
Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
hata hiyo siyo sababuWala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................
Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
Yaweza kuwa unayosema yakawa na ukweli. Lakini ya mtoa mada yote ni ya uongo?Wala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................
Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
Kwa nini humpendi?hivi hayo yote ya kwake?!!simpendi manji Ila hapa nahisi kuna uonevuu
mwenyekiti wa yangaKwa nini humpendi?
Ulishawahi sikia story jinsi wachezaji wa yanga walivyowahi iokoa simba isishuke daraja? Kifupi simba au timu yoyote, hawezi chukia yanga!mwenyekiti wa yanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57]
Nemo judex causa suauzi mbovu wa siku ni huu, haueleweki wala hauna mbele wa nyuma unaelea kama kitovu,shame