Ungamo la kishetani!!

Mimi nanoa kisu nakiweka chini ya mto; halafu usiku nakinyofoa hicho kidudu, tuone kama utatumia ulimi kujaza mimba watu!
 
U did it dude'lakin unajiongopea unajua kilichokusukuma kufanya hayo!! Ndio unayopenda utaishi miaka mingi sana kama utaishi ukifanya unachokipenda'moyo na roho inasawajika pengine hata kufanya vizuri kazin au ktk biashara zako kutokana akila inatulia sana ukitoka kufanya kipendachi roho akili inagundua kosa kabla hujafanya so sidhani kama kuanzia sasa kama utakua na amani maana unaacha kufanya kinachokupa rahaa ktk maisha'ur wrong dude'nakuona mpumbavu sababu kuanzia sasa hutaenda tena bar kwa uongo'hutalala tena na suzy na mtoto wako hutamkubali sababu unahsi ulichofanya kibaya'pumbavu.
 
Haya ndiyo yanayoendelea kwenye familia zetu nyingi sana, japo hapa tunafanya kama kushangaa!
Tena pengine tunafanya mazito zaid ya haya!
Imagine vitendo kama mfano abortion tunazofanya au kusaidia kuzifanya, kufukuzisha kazi wenzetu kwa makusudi, kugombanisha ndoa za marafiki etc!

Bora huyo jamaa ameamua kuweka hadharani aliyoyafanya, nadhani amedhamiria kuyaacha jumla.
Personally nachukulia hili kama ungamo la DHATI!
NAWASILISHA.

PJ, unaweza kuwa sahihi. Ila binafsi nimesema mara nyingi, na nitarudia tena na tena. Hakuna sababu/maana kusema ukweli usio na tija! Wote tunaishi kwa amani (hata kama ni feki) kwani mambo mengi ambayo yangetuumiza sana roho zetu hatuyajui.

Kuna mtu alinambia hivi..."People will hardly remember what you told them, but will never forget what you made them feel".

Ni bora mtu akae na siri zake hadi anaenda kaburini kuliko kunitibulia feelings...It is too expensive to repair such damages if at all it can possibly be repaired!
 
Vipi jamaa nae akiambiwa hao watoto si wake, na mara zote alipokuwa mpirani na kwenye salon rafiki yake xx huwa anakuja kumpa raha. Na kwa ushauri tu mama akamshauri baba waendelee hivyohivyo maana maisha mazuri.
 
Angekuwa na akili ya kufikira upande mwingine wa shilingi asingethubutu kufungua kinywa chake!!
 
\
So you incourage infidelity or, to be precise, cheating:A S thumbs_down:

Mkuu PJ,

Ni wapi katika maandishi yangu nimetoa tangazo la kupigia upatu suala la Infii??

Hata hivyo msimamo wangu ni kuwa, hakuna haja ya kuongea ukweli usio na tija. Naamini uongo mtakatifu ni bora mara 100 kuliko ukweli wa maangamizi kama huo hapo juu!!
 
PJ, unaweza kuwa sahihi. Ila binafsi nimesema mara nyingi, na nitarudia tena na tena. Hakuna sababu/maana kusema ukweli usio na tija! Wote tunaishi kwa amani (hata kama ni feki) kwani mambo mengi ambayo yangetuumiza sana roho zetu hatuyajui.

Kuna mtu alinambia hivi..."People will hardly remember what you told them, but will never forget what you made them feel".

Ni bora mtu akae na siri zake hadi anaenda kaburini kuliko kunitibulia feelings...It is too expensive to repair such damages if at all it can possibly be repaired![/
QUOTE]

yeah, chukua tano D.C, kwa nini kuumizana pasipo sababu, kama umetenda ushetani wako na mwenzio hakufahamu/hajui ni vema ufunge domo lako utubu na Mungu wako.
 
Life will never be the same again hata kama nitakusamehe.........some secrets are not meant to be told.

Umeona na wewe kajukuu??

Kwa nini uanze kujisafisha na tope au maji taka wakati wenzio wanakuona u msafi???
 
yeah, chukua tano D.C, kwa nini kuumizana pasipo sababu, kama umetenda ushetani wako na mwenzio hakufahamu/hajui ni vema ufunge domo lako utubu na Mungu wako.

Huyu jamaa hajawekewa mtutu ili atoe huo upupu wake, sasa anawashwa na nini hadi afanye upuuzi kama huo?

Binafsi siwezi kuelewa kitu hapo!!
 
Back
Top Bottom