Wale wasomi wa enzi zile na formula zao chakavu za uchumi zinapoteza nchi... niliwahi sema akina Mpango na wenzao waliomzunguka Magufuli ni wasomi wenye theory chakavu kwa dunia ya leo... kubana matumizi na kupunguza mzunguko wa pesa ni kanuni hatarishi kwa uchumi wa sasa maana mazingira yamebadilika sana... kwa sasa gharama za maisha kwa mtanzania ni kubwa sana na hakuna namna zinaweza shuka kulingana na hali halisi ilivyo.... kuna tetesi wahusika wameshindwa kama ilivyoshindwa ugiriki..... Ni zaidi ya mwaka sasa hali ya fedha ikiwa mbaya sana gharama za maisha zimepanda maradufu ya awali wakati wa mzunguko mkubwa wa fedha.... YETU MACHO!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.