Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

yaani anasema airport maaskari wanamkimbilia mtuhumiwa mmoja wanaachia wazi lango hao wengine wanapita
na anadai huyo anaekimbiliwa anakua na mzigo mdogo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] too many movies asiangalie tena movie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mil 700 akalia bata? Bata Gani ya mil 700. Au ni mil 70???😂
Mil 700 mkuu! sijakosea.. alikuwa anazichea ukiomba buku unapewa 10k ukiomba 10k unapewa 100k akampangia ghorofa mbezi beach Pisikali wa bongo movie yaani alikuwa anaishi kisuperstar ziliisha zote mpaka akauza nyumba Yao ya urithi alafu akakimbia
 
Acha watu wapambane kama hawajaona kuna Shida gani?
 
Katika watu wanoishi maisha ya kuteseka hawa wanaongoza ndani yao inaogopesha sanaaa bora uvuje jasho kihalali tuu
 
Ukiwa ccm kindakindaki hizo biashara hazina madhara yeyote kwa hapa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…