Chiligata si alisema kuwa Chenge alikwenda kuangalia kiti cha kukalia, sasa ukitaka kutafuta kiti kisheria ya Bunge lazima unyunyuzie unga? mbona wao wenyewe wanajikanyaga kwa kutuletea conflicting najibu?
nae spika kwa nini aliwambia wabunge kuwa ukumbi ni salama na kwamba hakuna matatizo yeyote? sasa kwa nini polisi wauchukue huo unga wakati spika kasema mambo ni shwari bungeni?
Huenda polisi hawakumwamini spika ndo maana wakauchukua huo unga unga? Au polisi hawaamini alivyosema bwana Chiligata kuwa jamaa alikwenda kuangalia kiti cha kukaa. Jamani mbona maswali yanajitokeza tu
Bunge Likivunjwa Na Serikali Kurudishwa Kwa Wananchi Tutajua Mengi Tu!
Top Mafioso Don Kikwete Akisaidiana Na Kapten Makamba Hawatakuwa Na Kazi Na Hapo Tutaanza Upya Na Ukweli Kujulikana!
Narudia Tena...la Sivyo Nchi Ipigwe Panga Na Misukule Waendelee Na Owners Wao Na Wazalendo Tujipange Kuirudisha Nchi Yote Mikononi Mwa Wananchi!
Mimi Niko Radhi Kuingia Msituni Walahi Vile!
Lidoda ulitegemea kwamba spika awaeleze wabunge kwamba ndani ya BUNGE kuna matatizo wakati hayajathibitishwa?
Lakini pia kwa upande wa polisi ni juu yao kufanyia uchunguzi kila tukio ambalo si la kawaida na hiyo ndiyo kazi yao wala suala la kujikanyaga hapo halipo uanatakiwa uelewe hayo na siyo unazungumza vitu kishabiki tu.
WE! JMUSHI acha kudanganya watu uko tayari kuingia msituni kama hujui kufa hebu katazame kaburi hayo siyo maneno ya kusema temea mate chini thuuu!!!!
Umeishawahi kufika katika kambi za wakimbizi au baada ya Kibolorioni uakaenda Dar basi acha hizo usichezee amani
kama hawajui majibu kwa nini wameruhusu ukumbi uendelee kutumiwa?
ina maana huo uchunguzi ukisema huo unga unga ni kitu mbaya
watatuambia nini wananchi na hao "wawakilishi" wetu?
jibu wanalijua ni unga wa mahindi huo.
Hivi wewe ni MWEHU ama UMEROGWA?
AMANI IPI HIYO NA YA NINI?
WE DONT WANT PEACE...ALL WE NEED IS EQUAL RIGHTS AND JUSTICE....UNTILL THEN ITS ALWAYS GONNA BE WAR....!
Mushi,
yaani unataka haki za msingi na justice LAKINI hutaki amani ?? usipokuwa na amani utapate hivyo vitu ulivyotaja ?
Kama wabunge wamesharuhusiwa kurudi bungeni kabla ya utafiti wa unga huku bunge lenyewe likiwa halijasafishwa ili kuwa free of any poison...Then huo unga si sumu ila wanatugeresha kimafia!
Kama unga ulihisiwa kuwa sumu halafu wabunge wamerudishwa ndani kabla ya kujua kama ilikuwa ni sumu ama la...Kwa mkemia mkuu umepelekwa ili iweje?
Jeshi la Polisi limesema kuwa unga unga uliokutwa kwenye baadhi ya viti vya Wabunge wiki iliyopita baada ya Mhe. Chenge kuvipitia "akitafuta mahali pa kukaa" utapelekwa kwa Mkemia Mkuu wa serikali Jijini Dar kwa uchunguzi zaidi. Hayo yamesemwa na Jeshi la Polisi leo na wameahidi kuwa matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa mara moja.
kwa utaratibu wa kawaida tu,ilitakiwa bunge kusimamisha shughuli zake kwa muda ilikupisha uchunguzi ufanyike.Lakini tatizo la serikali ya ze comed inasikiliza wana ccm bila kutumia taaluma yao,ndio maana mwisho wa siku unakuta kila mtu anasema lake.Lidonda kama unafikiri kuna serikali basi ni kujidanganya ila tuna chama kinachoongoza nchiLidoda ulitegemea kwamba spika awaeleze wabunge kwamba ndani ya BUNGE kun matatizo wakati hayajathibitishwa?
Lakini pia kwa upande wa polisi ni juu yao kufanyia uchunguzi kila tukio ambalo si la kawaida na hiyo ndiyo kazi yao wala suala la kujikanyaga hapo halipo uanatakiwa uelewe hayo na siyo unazungumza vitu kishabiki tu.
usichezee amani
Ipole bado unaamini kuwa tanzania kuna amani?
Kuingia msituni si tatizo,omba uzima ushuhudie siku ya kuingia msituni ikifika
Lazima tupigane 4 tz,hii si nchi ya wahindi,waarabu,wairan,wazungu n.k wanaogawana tunu yetu na mafisadi.
Eee MUNGU naitamani kwa hamu siku hiyo utakaposimama upande wetu masikini watanzania.Upanga wako ukipita juu ya hao nilowataja hapo juu.amina.
Hata kama utakuwa unga mahindi, swali "Unga huo ulikuwa na madhumuni gani especially kwa muda ule AC alipokuwa akitafuta seat?"Nonsense! Wastage of time! Attention diversion! Stupidity. Wameshakubaliana sio uchawi wala sumu sasa wanatupotezea nini muda wetu? Wajinga hao wanapeleka unga wa mahindi. Kwa nini ule unga wenyewe walibaki nao?
Asha