Unga Unawamaliza Wasanii wa Bongo Flava

Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba.
 
Hawa vijana washamba. Pia Elimu zao ndogo, hawana shule kichwan. Wanahisi kuwa ili ujanja ni kula madawa. Huu ni ushamba.
Mkuu hizo sio sababu, nimeona wasomi wengi sana wakipoteza maisha kutokana na unga. Usidhani mvuta sigara hajui madhara yake,au mla uroda kavu kavu hajui madhara yake.....wanajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom