MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,706
- 4,923
Dah, naona kama unga umezidi maji.
Nipeni siri Ndugu zangu!
Nipeni siri Ndugu zangu!
Uso unashida gani huyo?😳
His name is beetle juice. He is just a piece of shit!!!Uso unashida gani huyo?
Sasa nikiongeza maji ....si utageuka kuwa uji?Nilidhani maji yamezidi UNGA,
Kumbe ni UNGA umezidi maji!!!
Ongeza maji tu utaiva!!!!
Mpaka lini Ndugu? Nitulie Kusubiri miujiza au sio?Ukiona unga unazidi maji.... Maji yanazidi unga basi huna budi utulie tu.
Kadiria!!!Sasa nikiongeza maji ....si utageuka kuwa uji?
Sina hakika sana NduguKadiria!!!
Maji unayoongelea yamezidi, yanatosha kuigharikisha Bandari?