Udaku!Wewe uliyemilikisha nchi kwa waarabu una mamlaka gani kujadili chochote?
Kipi hicho mnaweza kujadili?
Kabiiiiiiiiiiiiiiisa lo
Unaona kabisa pale kuna Podium na laptop zao ziko juu ya podium , angalia Ndejembi anasoma akiangalia wapi ana Ruto anaongea bila kusoma popote sio kwenye Laptop wala Teleprompter.Hata Rutto atakuwa anasoma. Kuna kitu kinaitwa teleprompter huwezi kukiona. Lakini huwezi kwenda UNGA meeting ukateme madini kutoka kichwani. Hii ni hotuba imeandaliwa!
rutto ni mzungumzaji sana, kifupi ni mzee wa fix
1. hizo hotuba za ruto, ndejembi sijasikilizaJamaa unauwezo mdogo sana wakufikiri
1. hizo hotuba za ruto, ndejembi sijasikiliza
2. kwamba unasema ruto sio mzee wa fix?
2. kwamba unasema ruto sio mzee wa fix?Wewe ndo umesema ruto mzee wa fix
Maana yake nini sasa hii?Hata Rutto atakuwa anasoma. Kuna kitu kinaitwa teleprompter huwezi kukiona. Lakini huwezi kwenda UNGA meeting ukateme madini kutoka kichwani. Hii ni hotuba imeandaliwa!
Mazafaka Ndejembi alidhani katumwa kwenda kusoma hotuba (sio kuhutubia UNGA). Hiyo kazi ya kusoma hotuba, mwalimu yeyote wa kusoma na kuandika English angeifanya vizuri kuliko yeye. Faki zati sonofabitch!
Sasa kama anakijua kwa nini asiachane na kusoma ateme madini aliyonayo?Rutto anatema madini kichwani wa kwetu anasoma na bado anachapia chapia...Sijui ni woga au namna gani lkn Kiingereza anakijua sana.
Hata hiyo CCM yenyewe haipo tena mkuu, ni lawama tu zimebaki zikiiandama.Utaratibu wa kumpata Rais kupitia CCM ,tutaendelea kufeli na kujilaumu kumbe Tatizo ni CCM!
Mbali na hilo hata 'content' ya hiyo 'speech' haina lolote la maana; tofauti kabisa na aliyoelezea Ruto; anagalau kwa maneno, hata kama siyo kwa uhalisia wa anachokitamani.Mazafaka Ndejembi alidhani katumwa kwenda kusoma hotuba (sio kuhutubia UNGA). Hiyo kazi ya kusoma hotuba, mwalimu yeyote wa kusoma na kuandika English angeifanya vizuri kuliko yeye. Faki zati sonofabitch!
Ni ngumu sana kumwamini Ruto; pamoja na kwamba anayosema yanavutia.Kasongo(Ruto) yuko level nyingine, huyo Mpemba japo anasoma a written speech ila haina 'matirio' thabiti ukilinganisha na Kasongo.
Tumuamini Mjane????Ni ngumu sana kumwamini Ruto; pamoja na kwamba anayosema yanavutia.
Sasa kwann Ndejembi nae asitumie hiyo teleprompter yako?Hata Rutto atakuwa anasoma. Kuna kitu kinaitwa teleprompter huwezi kukiona. Lakini huwezi kwenda UNGA meeting ukateme madini kutoka kichwani. Hii ni hotuba imeandaliwa!
Katibu Mukhtasi wa kampuni yangu ya kandarasi za ujenzi ana shahada ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.Tumuamini Mjane????
Uwezo wa yule bibi ni sawa na uwezo wa secretary wa Kampuni tena kampuni ya ujenzi
Mwenyewe Ruto wala hatamni wewe umuamini, we endelea kuamini phd za kuzawadiwa. Ruto ameenda shule na wenye akili wanamuaminiNi ngumu sana kumwamini Ruto; pamoja na kwamba anayosema yanavutia.
Kwahiyo kusoma na kuongea tu kuna shida gani? Hivi kweli bado tunashindana kwamba nani ameongea na nani amesoma hotuba... KWELI SISI NI WATU WEUSIUnaona kabisa pale kuna Podium na laptop zao ziko juu ya podium , angalia Ndejembi anasoma akiangalia wapi ana Ruto anaongea bila kusoma popote sio kwenye Laptop wala Teleprompter.
Asee hili nalo unataka tubishane.