M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,617
- 20,419
I know, ndiyo maana wahenga wa kikoloni walisema action speaks louder than words.Ni ngumu sana kumwamini Ruto; pamoja na kwamba anayosema yanavutia.
I know, ndiyo maana wahenga wa kikoloni walisema action speaks louder than words.Ni ngumu sana kumwamini Ruto; pamoja na kwamba anayosema yanavutia.
Dr Ndejembi ameupiga Mwingi, anaeleza vitu ambavyo ni tangible and practical, while Mh Ruto anaongelea Theoretical points, unrealiastic
Dr Ndejembi ameipiga Mwingi, amaeleza vitu ambavyo ni tangible and practical, while Mh Ruto anaongelea Theoretical points, unrealiastic
Kamuulize! 🚮Sasa kwann Ndejembi nae asitumie hiyo teleprompter yako?
Kwenye swala la kumwamini mtu yeyote; "mjane" hana sifa hata ndogo tu ya uaminifu kwa lolote.Tumuamini Mjane????
Uwezo wa yule bibi ni sawa na uwezo wa secretary wa Kampuni tena kampuni ya ujenzi
Sasa unafikiri kuwa na wewe ni mmoja wa hao "wenye akili"?Mwenyewe Ruto wala hatamni wewe umuamini, we endelea kuamini phd za kuzawadiwa. Ruto ameenda shule na wenye akili wanamuamini
Kamuulize! 🚮
Ruto ni mahiri sana katika kutumia maneno yenye mvuto. Mara nyingi hayaendani na utendaji wake.I know, ndiyo maana wahenga wa kikoloni walisema action speaks louder than words.
Teh teh teh wanarukia vya watu wangeongelea Kongo Sudan Kusini...eti GAZA....home 2 wamechafuka!!!!Sasa mnataka utu uheshimiwe Gaza wakati hapa Tanzania hamthamini utu wa watu wenu