Unga kilo shilingi 2,200, Serikali iingilie kati

Kwa mavuno ya msimu huu..unga kilo utarudi hadi shilingi mia tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Forget it! Demand ya mahindi na mpunga ipo juu hatari..... nchi za jirani tu zimeshaset budget ya kununua mahindi na mpunga mwaka huu. Google Kenya imetenga kiasi gani, wana hali ngumu ya uzalishaji.

Kwahiyo kama umelima mahindi au mpunga mwaka huu subiri sherehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipendi hata kuziona hizo kitu.

Ila watu wanachukulia mambo kirahisi sana hapa jukwaani. Eti 'kula wali, kula keki, kula tambi' dahh .

Arusha hapa kilo ya unga 1500 hadi 1600.

Mimi nimeambiwa nitakuwa sijui kuzipika. Ila kweli tambi si chakula, ni mbaya. Na chakula kikiwa kibaya "unashiba huku una njaa".
'Kula keki'? Huyu atakuwa alikuwa anatania.

Nina mwaka na zaidi sijala ugali. Ila naupenda.
 
Sasa chakula kikiwa kibaya unaanza vipi kukila? 😃

Hao wanasema watu wale keki ni wale jamaa wa Lumumba wao daily buku 7 zinaingia hawana tatizo.

Mwaka hujala ugali? Duh, mwaka huu tu sijui kama kuna siku sijala ugali. Ila kawaida kwa watoto wa kike hampendi ugali.
 
Sasa chakula kikiwa kibaya unaanza vipi kukila?

Hao wanasema watu wale keki ni wale jamaa wa Lumumba wao daily buku 7 zinaingia hawana tatizo.

Mwaka hujala ugali? Duh, mwaka huu tu sijui kama kuna siku sijala ugali. Ila kawaida kwa watoto wa kike hampendi ugali.

Unakula tuu ili usife.
Nimetoka ku-search "Lumumba na jamaa wa Lumumba" sijaambulia kitu.

Mimi napenda ugali kuliko tambi na wali.
 
Mazingira tuu ndio hayaruhusu ila naupenda.
Mazingira hayaruhusu vipi?
IMG-20200113-WA0004.jpeg

God save us
 
Tatizo nguvu kazi kubwa iko mijini inafanya kazi za kipuuzipuuzi kama vile kuendesha bodaboda, kukata viuno majukwaani, kukaanga chipsi mayai n.k. n.k.

Hii ni aibu kwa taifa na hasa pale unapoona serikali haina mkakati wa makusudi wa kujenga mazingira wezeshi ya kilimo kwa vitendo na sio maneno maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unga kilo ni shilingi 2200 kwa baadhi ya sehemu huku Dar inatarajiwa kufika 3000 tukiingia mwezi wa pili.

Walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa na sio wakubwa kwa hiyo serikali isidhani kuwa wakulima ndio wananufaika la hasha wanaokula mema sasa hivi ni walanguzi

Huu mfumuko ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka wakachukue mahindi walio uza Zimbabwe
 
Back
Top Bottom