ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #41
wapo wachache sana wanaoweza kuwa kama huyo dada...
Ila pamoja na hayo sikuona logic ya jamaa kumwandikisha mali zote, why not Mr and Mrs.....?
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
Dada Smile inategemea na uwezo wa mwenzi wako, kama ana uwezo halafu hakutimizii hiyo ni habari nyingine lakini kama unaona kabisa hakuna jinsi ya kupata halafu bado ukaendelea kumganda ili akupatie basi wewe ni tatizo katika mapenzi yenu.hivi unaweza kumpenda mtu bila umjali shida zake?
Hahahahahaaaa usihofu huo ndiyo ukweli wenyewe. Hata hivyo kwa hiyo picha you made my day.
usitegemee kumtendea binadamu wema upate malipo mema asilani
Smile unabisha ila ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe kuwa hali kwa sasa ikoje miongoni mwenu nyie wenyeweHapa lazima nibishe katika 100% wako wadada wa aina hiyo 20 au 50% hivi jamani
Ina maana wadada wote duniani hapatikane 1% tu punje ya haladai nakataa
Ni kweli inauma sana
Lakini kile kisichotuua ndicho kinatufundisha na kutufanya imara zaidi!!!!!!!!
kwani kuna ubaya gani besti akimwandikia mali zote, si unajua ndugu watakuja juu kutaka kunyima mali zake wakati Bwana akimmtwaa huyo mbaba au mmojawapo hapo?
Hiyo picha mbona kama huyo mkaka anataka kunawa halafu na huyo mdada kama anamgandamiza zaidi vile. Kumbe mnapenda kutomaswa embe dodo kwa nje eeeeh?Hay my friendly;
My frendo share this real life story if you love it
**"You can't be paying the bills for him and still be doing all the work in the House". - wife's friends advised.
A Guy who has no job got married to a banker, despite his fears and several advices that it's not good to marry without a job. Every month the girl would give the guy her full salary of N135k after removing her tithe.
The guy would give the wife N20k for personal upkeep and the guy determined what happened to the remaining money. This happened for three good years. There was happiness in the family and the wife never refused to do her primary home duties for that 3 years, despite wrong advice from friends that 'you can't be paying the bills and still be doing all the work'.
There was a particular month the guy used about N70,000 to travel from state to state for different interviews. He finally got a job with a good firm in Port-Harcourt. His salary was N600,000 monthly for a start. He bought his first car (a brand new) for N4.5m, he gaved wife the car key, and continued to take public transport to work for about two years.
View attachment 106786"real love "
Then he bought the second car for N6 million. Then he took the keys of the first car and gave his wife the keys of the second car. They were very happy. They eventually moved into their own house after few years. One day, the wife was looking for some documents. Then she stumbled on a file neatly hidden, when she opened it, she saw her wedding picture when she was very slim in the first page of the file.
She then saw that the document to the purchase of the land and every other thing in the house were all written in her name! At the last page was the husband's wedding picture and a note written by him:
''MY WIFE IS ALL I HAVE GOT. NOT EVEN THIS HOUSE WORTH N24M AT THE TIME I BUILT IT IS MINE''.
Tears started to roll down her eyes as tried to put the documents neatly as she saw them and walked back to the kitchen. This couple got married in 1998. Last Sunday was their wedding anniversary with three children, two boys and a girl.
True LOVE still exists till this day. Are you sure the love you have for your partner can be compared to this one you just read? No matter what, remember you chose each other. So share. It doesn't matter who puts food on the table.
cc: Mamndenyi, Nicas Mtei, Passion Lady, sweetlady, FirstLady, charminglady, Lady doctor, Heaven on earth, heaven on desert, Smile, amu, Asprin, Mtambuzi, kabanga, Mwita Maranya, Ruttashobolwa, Mr Rocky, Arushaone, Filipo, LiverpoolF, Mentor, KakaKiiza, Kipaji Halisi, stevoh, The secretary, Bishanga, kokuTUNA, cacico, gfsonwin, snowhite, lara 1, Himidini, Donn, Erickb52, Bujibuji, watu8, na maarafiki wengine niliosahau majina yenu nawapenda.
Smile unabisha ila ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe kuwa hali kwa sasa ikoje miongoni mwenu nyie wenyewe
Huwezi ukanikubali kama mimi sina kazi sina mategemeo yoyote nimekaa kaa kihasara tuu sijui kula yangu kesho itakuwaje may be halafu unikubalie tufunge ndoa hapo tunadanganyana
Hiyo picha mbona kama huyo mkaka anataka kunawa halafu na huyo mdada kama anamgandamiza zaidi vile. Kumbe mnapenda kutomaswa embe dodo kwa nje eeeeh?
Mkuu wanajaribu kuukwepa ukweli wakati ukweli wenyewe hauhitaji hata tochi kuuona, mademu walio wengi siku hizi wana ndoto za kumpata mtu mwenye nguvu za kiuchumi, unapomtokea tu anaanza kukukagua kama unakidhi vigezo halafu mapenzi baadaye yatafuata.Smile unabisha ila ukweli halisi unaujua wewe mwenyewe kuwa hali kwa sasa ikoje miongoni mwenu nyie wenyewe
Huwezi ukanikubali kama mimi sina kazi sina mategemeo yoyote nimekaa kaa kihasara tuu sijui kula yangu kesho itakuwaje may be halafu unikubalie tufunge ndoa hapo tunadanganyana
what if akianza kutwaliwa bidada, si ndg wa mke pia watakuja kuchukua hizo mali? after all kwani wakiandika mr and mrs si bado mmoja ana haki in case mwingine akitwaliwa.
Mkuu wanajaribu kuukwepa ukweli wakati ukweli wenyewe hauhitaji hata tochi kuuona, mademu walio wengi siku hizi wana ndoto za kumpata mtu mwenye nguvu za kiuchumi, unapomtokea tu anaanza kukukagua kama unakidhi vigezo halafu mapenzi baadaye yatafuata.
Hata uwe kikongwe, sura mbaya kama yangu ukiwa na pochi la uhakika utaitwa handsome na handsome ataitwa mshambamshamba.
Hahahahahaaaa usihofu huo ndiyo ukweli wenyewe. Hata hivyo kwa hiyo picha you made my day.
Inawezekana kweli mimi ni mshamba, wakati sisi tunaoa tulikuwa tunafanyia sherehe kwenye viunga vya kanisani hapo hapo, siku hizi nyinyi mpaka muende beach au pale mlimani city mkajianike ili mpigwe picha baada ya hapo kwenye makumbi mengine ya Baa, mengine ya disko ilimradi ni kiwanja cha ibilisi cha kujidai kila siku sis tutawaweza wapi.Wwewe acha ushamba hujaona style za kisasa za picha za harusi au unataka nifotoe nyingine hapa ili uelewe
Mbona umekuja mbio hivyo vipi Malkia wangu? tuliza munkari ni maongezi tu.ngo ule ugonjwa wako nilioambiwa na dada Blue G
lakini mara nyingi mila ,desturi na tamaduni nyingi mwenye kuandika wosia ni m-baba, na sio m-mama,
na mambo ya kutwaliwa ni Mungu ndiye anayepanga atwaliwe nani kati yao ila mara nyingi kibailogia wanasema mwanamke ana uhai wa kuishi kuliko mwanaume, hivyo mara nyingi wanaume ndo wanaotangulia kwenye familia wewe anza kuchunguza katika ukoo wenu nani wanaoanza kutwaliwa?
lakini mara nyingi mila ,desturi na tamaduni nyingi mwenye kuandika wosia ni m-baba, na sio m-mama,
na mambo ya kutwaliwa ni Mungu ndiye anayepanga atwaliwe nani kati yao ila mara nyingi kibailogia wanasema mwanamke ana uhai wa kuishi kuliko mwanaume, hivyo mara nyingi wanaume ndo wanaotangulia kwenye familia wewe anza kuchunguza katika ukoo wenu nani wanaoanza kutwaliwa?