zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Sep 2, 2011 4,873 1,216 Oct 23, 2012 #1 Undugu na Urafiki wa humu JF NI WA KI DIGITAL,ULE WA KI ANALOGY UPO FACEBOOK.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,021 94,073 Oct 24, 2012 #3 Mie baada ya kugundua hilo imebidi nifunge dish la CHIT CHAT nakamata chaneli zote...
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,608 52,338 Oct 24, 2012 #4 fumbo mfumbe Mamndenyi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Sep 2, 2011 4,873 1,216 Oct 24, 2012 Thread starter #5 Wajad said: Funguka zaidi mkuu Click to expand... Fikiria zaidi.
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member May 24, 2008 3,736 2,137 Oct 24, 2012 #7 Grenade said: Kama huna decoder hupati kitu kumbe..!! Click to expand... siyo decoder ni king'amuzi za digitali...... humsiagi Pr mbarawa
Grenade said: Kama huna decoder hupati kitu kumbe..!! Click to expand... siyo decoder ni king'amuzi za digitali...... humsiagi Pr mbarawa
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,780 Oct 24, 2012 #8 Ni kweli uko sawa! Mi nishawahi toka na agenda hiyo wengi wao wakaonesha kutoupenda sana udugu wa kifizikali zaidi ya kithiorotikali .
Ni kweli uko sawa! Mi nishawahi toka na agenda hiyo wengi wao wakaonesha kutoupenda sana udugu wa kifizikali zaidi ya kithiorotikali .
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,255 12,872 Oct 24, 2012 #9 Mamndenyi said: fumbo mfumbe Mamndenyi. Click to expand... charminglady ataling'amua!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Sep 2, 2011 4,873 1,216 Oct 24, 2012 Thread starter #10 charminglady said: charminglady ataling'amua!!!! Click to expand... Tena fasta ki digital Last edited by a moderator: Jan 4, 2016