Undugu utakufa hivi punde

Undugu utakufa hivi punde

Pole kwa changamoto ndugu hata mzaliwe tumbo moja huwezi fanana tabia na mambo mengine. Hapo unaweza kuta anajenga we unamhudumia sijui itakuumaje.Naandika huku nacheka siku anakuambia dogo twende Chanika au Bunju ukaone kibanda changu af ahamie kwake we akuache umepanga looooh!!!
On a serious note though...As long as ni ndugu yako tafuta namna muachane kwa amani. Just make sure anakipato cha kueleweka maana unaweza tengana nae na bado akawa anaishi kwa kubangaiza utajiskia vibaya zaidi.
Cha kufanya tafuta sehemu nyingine hapo mwachie. Gawa vitu usichukue vyote ili akose point ya kulalamika na kuku haribia home kua umemtelekeza. As long as unajituma utapata vingine. Na yeye atajua atatafutaje. Kama una kitanda na makochi, beba kitanda mwachie kochi alalie.
Nakushauri japo naandika huku nawa zoom ndugu zangu wa damu I would never get tired of living with them no matter how tough life is...kumbuka maisha hayana formula haya. Leo unamsaidia yeye kesho kama haupo wema wako ataulipa kwa wanao. Kazi zenyewe hazina guarantee unaweza ukose kazi ujikute unamhitaji angalau mtegemeane to make ends meet.
Au pia kama hana kipato kizuri shauriana nae um support aanze biashara.
Hutaishi kwa amani ukimuacha ndugu yako kwenye mazingira magumu wakati we unaishi vizuri. Ndo maana Mungu akatupa ndugu ili tusaidiane (japo sio mara zote ndugu wanasaidiana)
 
Alipokuwa anakaa mwanzo .jamaa alifikia wakati anataka kuoa ivo ilibidi tu aje kwangu
Bbasy hata huko alikokua akikaa jamaa alikua haoi wala nini... Alishachokwa na tabia yake
 
Write your reply pole sana ...kama vipi mkimbize tu
 
Mmhh hapa nnapokaa kuna watu wapo ivo ivo jamaa kapanga akaja ndugu yake kumsalimia na kutafta maisha basy uyo aliyekuja kutafta maisha mambo bado hayajakaa poa huruma vituko anavyo fanyiwa na mwenyeji wake
 
Hapo Kwenye kumezeshwa sumu na mama ndo nimeelewa; Uu mwandishi mzuri wewe HONGERA.
 
Pole sana, kama hana tatizo la kiafya, kiakili, si mwanafunzi n.k, dhahabu safi husafishwa kwa moto, hapo chagua moja kukosana na ndugu yako kwa nia njema au kuendelea kuumia huku na yeye ukimuumiza kimaisha, binafsi ningekubali kukosana naye ila baadae atakushukuru sana, chukua maamuzi magumu ili umsaidie nduguyo, ukiendelea kumlea atakuvujia, hama muache hapo peke yake, leta mke ndani au mfukuze kabisa na umwambie ukweli kuwa lengo lako si baya Bali ni kumsaidia na akisha anza kujitegemea basi pale atakapo kwama unaweza kumsaidia ila si kumlea kiasi hicho kama mtoto wa kike anayesubilia kuposwa....
 
Pole kwa changamoto ndugu hata mzaliwe tumbo moja huwezi fanana tabia na mambo mengine. Hapo unaweza kuta anajenga we unamhudumia sijui itakuumaje.Naandika huku nacheka siku anakuambia dogo twende Chanika au Bunju ukaone kibanda changu af ahamie kwake we akuache umepanga looooh!!!
On a serious note though...As long as ni ndugu yako tafuta namna muachane kwa amani. Just make sure anakipato cha kueleweka maana unaweza tengana nae na bado akawa anaishi kwa kubangaiza utajiskia vibaya zaidi.
Cha kufanya tafuta sehemu nyingine hapo mwachie. Gawa vitu usichukue vyote ili akose point ya kulalamika na kuku haribia home kua umemtelekeza. As long as unajituma utapata vingine. Na yeye atajua atatafutaje. Kama una kitanda na makochi, beba kitanda mwachie kochi alalie.
Nakushauri japo naandika huku nawa zoom ndugu zangu wa damu I would never get tired of living with them no matter how tough life is...kumbuka maisha hayana formula haya. Leo unamsaidia yeye kesho kama haupo wema wako ataulipa kwa wanao. Kazi zenyewe hazina guarantee unaweza ukose kazi ujikute unamhitaji angalau mtegemeane to make ends meet.
Au pia kama hana kipato kizuri shauriana nae um support aanze biashara.
Hutaishi kwa amani ukimuacha ndugu yako kwenye mazingira magumu wakati we unaishi vizuri. Ndo maana Mungu akatupa ndugu ili tusaidiane (japo sio mara zote ndugu wanasaidiana)
Ushauri wako ni wa busara sana nakupongeza kwa hekima ulizo tumia kumshauri huyu jamaa yetu, hofu yangu ni kwamba huyu kaka MTU unautayari wa kusaidiwa au ndo wale ambao hawana utayari, hawana mpango wa kujishughulisha, hawapendi kazi, nk kama MTU anayo nia na unaona IPO ndani mwake japo hafanikiwa basi huyo huwezi kumuacha hata iwe miaka mingapi ila wanaumiza wale ambao hawajali na hawataki hata kuelewa.
 
Kwanza huyo kaka yako anafanya kazi.. nijibu hili ndo maweza kukupa ushauri sahihj.
 
  • Thanks
Reactions: a45
Huyo kazi rahisi sana tafuta polisi wawili hivi (wakiwa washkaji zako itakuwa poa) wape hela ya kitimoto kabla ya maneno yote.
KAZI YAO:

Wape stori nzima na lengo lako waende gheto wakati jamaa yupo wakiwa na RB kuwa wewe ni jambazi na unatafutwa(na kama wewe ni mfanyakazi basi waseme umekopa ukashindwa kulipa hivyo mali zinashikiliwa). Na chochote kilichopo gheto kisitoke mpaka uchunguzi ukamilike. Potea gheto kama wiki na usipatikane hewani huku ukitafuta chumba kingine. Polisi walewale waje kuchukua vitu na gari ama nyumba ifungwe.

Nina uhakika siku hiyohiyo jamaa atakikimbia chumba. Na akikimbia rudi na uhamishe kila kitu kuanzia kitanda mpaka dodoki.

NB:
1. Hii mbinu itakupotezea muda ila kama huna gesi ya kumuambia live akapange chumba hii itakufaa.

2. Itumie hii mbinu wakati kodi ya nyumba inaelekea kuisha ili kuepuka gharama zisizo na lazima.

3. Ukifanikiwa hiyo hela uliyokuwa unamtunzia bro wakati anabembea kama popo unikumbuke hata kwa bundle niendelee kuonekana hapa Jf.
 
Ulipo hamia Dar, na akili yako imekua kama ya wanaume wa huo mkoa na hata maamuzi madogo imeshindwa kujisimamia...
 
Pole kwa changamoto ndugu hata mzaliwe tumbo moja huwezi fanana tabia na mambo mengine. Hapo unaweza kuta anajenga we unamhudumia sijui itakuumaje.Naandika huku nacheka siku anakuambia dogo twende Chanika au Bunju ukaone kibanda changu af ahamie kwake we akuache umepanga looooh!!!
On a serious note though...As long as ni ndugu yako tafuta namna muachane kwa amani. Just make sure anakipato cha kueleweka maana unaweza tengana nae na bado akawa anaishi kwa kubangaiza utajiskia vibaya zaidi.
Cha kufanya tafuta sehemu nyingine hapo mwachie. Gawa vitu usichukue vyote ili akose point ya kulalamika na kuku haribia home kua umemtelekeza. As long as unajituma utapata vingine. Na yeye atajua atatafutaje. Kama una kitanda na makochi, beba kitanda mwachie kochi alalie.
Nakushauri japo naandika huku nawa zoom ndugu zangu wa damu I would never get tired of living with them no matter how tough life is...kumbuka maisha hayana formula haya. Leo unamsaidia yeye kesho kama haupo wema wako ataulipa kwa wanao. Kazi zenyewe hazina guarantee unaweza ukose kazi ujikute unamhitaji angalau mtegemeane to make ends meet.
Au pia kama hana kipato kizuri shauriana nae um support aanze biashara.
Hutaishi kwa amani ukimuacha ndugu yako kwenye mazingira magumu wakati we unaishi vizuri. Ndo maana Mungu akatupa ndugu ili tusaidiane (japo sio mara zote ndugu wanasaidiana)
Nimekuelewa sana

Naona watu wengi kwenye pages za mwanzo wanaelezea namna jamaa aachane na huyo Ndugu yake ila hawajauliza ana kipato gani au tuseme " what does he earn for living"

Unaweza kuta jamaa ana earn nothing then we unakomaa achangie gharama za maisha na kama wewe (unaetaka Ndugu yako aondoke hapo kwako). Hakikisha basi bro ako anaweza earn kiasi flani cha pesa cha kumudu life

Coz umesema we ndo unahusika na kila kitu hapo geto Fanya makeke jamaa apate mtaji aanze piga mishe zake apate kipato na umwambie baada ya mda kila mtu atakua kivyake hapo utakua umetoa maneno na lawama
 
Nianze kwa kukupa pole bwana, Hujatuambia huyo brother wako anajishughulisha na kz gani! Labda hana hela, kama ana kibarua kinachomuingizia japo hela kidogo na hachangii chochote anakosea, we mwambie bro nataka kuoa hivyo utafute chumba upange, hapo utakuwa umemhamisha kiakili!
 
  • Thanks
Reactions: a45
Mdanganye mkasalimie kijijin then kaa siku mbili toroka mwache huko na huku mjin geto hamia kwingine simple as pushing a drunked man
 
Naona siku hizi zile stori za watu kula au kuliwa tigo zimepungua
 
Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7 nikapata chumba mambo yakawa yanasonga ikabidi nimwambie brother njoo napoishi sababu yeye alikuwa anakaa kwa mwenzie .

Brother toka aje ghetto kulipia maji hataki, kulipia umeme hataki,uchangia kodi hataki hata kununua sabuni hataki. Yeye ghetto anaishi kama popo, siunajua tabia ya popo ni kubembea tu hajali hata kujenga kiota.

Huyu brother hata kujinunulia shuka hataki, hata kununua sabuni anategea pia oneshi dalili za kutaka kuondoka.

Nimejaribu kumwambia kuwa hapa tunapoishi sio nyumbani siku mdogo wako nikiwa sina pesa tutafukuzwa tutaishi wapi.! Kama hutaki maisha ya kusaidiana basi panga chumba chako. Nilimwambia hivyo naonekana nina roho mbaya.

Pia yeye yupo upande wa mama yaani kamezeshwa sumu za kumchukia Mzee.Mimi nipo upande wa baba .

NAOMBENI USHAURI HUYU BROTHER NIJITENGE NAE VIPI BILA KULETA CHUKI
Wewe ulimwita wa nini kama hukuwa na uwezo wa kumhudumia?
 
Dawa yake ndogo sana mbona iseee! Kama una dem/mchumba, muombe aje kwako angalau kwa siku hata 3 tu (ale n.a. kulala hapo kwa siku hizo zote).ukimpanga akakubàli, mwambie broo wako wewe unataka kuoa n.a. mkeo atakuja hivi karibuni, so ajipange kivingine (unampa taarifa angalau week 1 kabla). Siku akifika dem wako vaa sura ya mbuzi, usimuonee huruma kabisa, mwambie atafute namna nyingine ya kuishi.
Dem wako akikaa angalau siku kadhaa, broo wako atakuwa amejua namna nyingine ya kuishi.
Hebu tumsaidie kaka yetu kwa njia rahisi kama hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom