Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Ndio abebevitu vyake akahamie kwengine na amwambie ameshindwa kukaa hapo sababu ya yeye kutojigusa na chochote atakapohamia asimwambie hapo sion kama kuna kutengana kwa amani mana naona ugomvi wao umeanzia mbali sababu wazaz wao wenyewe wameweka mipaka hata wakipewa hii kesi kila mtu ataaamua lake.Ataondokaje? Asepe na vitu vyote afu bro wake atamuachaje? Kumbuka amesema anataka atengane nae peacefully
