kachonjo
Senior Member
- May 25, 2018
- 161
- 197
Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7 nikapata chumba mambo yakawa yanasonga ikabidi nimwambie brother njoo napoishi sababu yeye alikuwa anakaa kwa mwenzie .
Brother toka aje ghetto kulipia maji hataki, kulipia umeme hataki,uchangia kodi hataki hata kununua sabuni hataki. Yeye ghetto anaishi kama popo, siunajua tabia ya popo ni kubembea tu hajali hata kujenga kiota.
Huyu brother hata kujinunulia shuka hataki, hata kununua sabuni anategea pia oneshi dalili za kutaka kuondoka.
Nimejaribu kumwambia kuwa hapa tunapoishi sio nyumbani siku mdogo wako nikiwa sina pesa tutafukuzwa tutaishi wapi.! Kama hutaki maisha ya kusaidiana basi panga chumba chako. Nilimwambia hivyo naonekana nina roho mbaya.
Pia yeye yupo upande wa mama yaani kamezeshwa sumu za kumchukia Mzee.Mimi nipo upande wa baba .
NAOMBENI USHAURI HUYU BROTHER NIJITENGE NAE VIPI BILA KULETA CHUKI