Nicely put and from experience inanilazimisha kusema that is mostly experienced na wadada btn 19-25! sijui wengine lakini kwa hapo, Ashadiii amepatia..
hahahahaha! Fidel umepinda wewe! Siku akiniambia hvyo akiingiza kichwa nampiga makonzi.Alafu nasikia kuna hadithi huwa vinawapa "......eti naingiza kichwa tu..." nani alikudanganya ina mabega ile?
Ashadii pia ule umri wa desperate for marriage mabinti huwa tunakuwa na hasira sana
Hahahahaha duhh ndo maana mm huwa nasema sijawahi penda na sitaki
kupenda nitabakia kutamani tu Najua maumivu mnayo pata watu mnaopenda maana dah mpaka nawaonea huruma.
Mtu unazila kula wiki na unasononeka kwa ajili ya penzi lol
nilimaanisha urafiki wa kawaida mpenzi sio wa kibaba baba na kimama mama.Husny umenipa bonge la tabasamu, hiko kundi hapana labda hata 17 mana wengine wengi tulianza mitaa hiyo hiyo mpaka kubambikwa...Naomba nisiongelee saana, ila kweli kaka wa hio age kutongoza bintiwa namna hii personally naona si haki...
Lakini nyamayao, unasisitiza wakaka watafute wadada watulivu,
kwani wamekwambia wanataka kuoa hapo,
wanataka kuchungulia tu na kupuyanga, sasa huo utulivu wa nini hapo.................?.lol...
kama ndio hivyo wacwe wanalalamika cjui ma bill mazagazaga yote ya kuchunwa, kula uliwe mjini hapa.
Ahaaaa!!! Mbona unanikuza haraka una mpango gani na mimi lol!!!hahahahahaha! We sio babu wewe? Mmh!
Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njianiHATIMAYE... mimi shangaa sana nini nimeharibu... i think redirecting the direction ya Alias imemkwaza PA...lol
Enways faili ije bana... want me to kno me....
Kwenye kochi wanapenda kukaa wale wanaopenda kuja na vi-date vyao lolzUliwaona eeee duh nikasema hii ni nini sasa na mie napenda kukaa counter sio kwenye kochi
I really hope you are below 25, kama ni zaidi ya 25 hujawahi penda you are in for a long terrible haul....
uombe atakae kushika masikio awe na huruma.... kweli unalo dear..
Ina onekana member pale mazingira unayajua sana, lol next time nikiingia nitaku beepAhaaaa!!! Mbona unanikuza haraka una mpango gani na mimi lol!!!
Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njiani
Kwenye kochi wanapenda kukaa wale wanaopenda kuja na vi-date vyao lolz
kweli bora niwakimbie. Si unamuona fide hapo anaanza kunidanganya kwa chps kuku.ha ha ha... Husny sorry mwaya...Naona si mbaya but usiwe close, sometimes it is good living your age...
jana ulidondosha cheti chako cha kuzaliwa chumbani.Ahaaaa!!! Mbona unanikuza haraka una mpango gani na mimi lol!!!
hahahahaha! Fidel umepinda wewe! Siku akiniambia hvyo akiingiza kichwa nampiga makonzi.
Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njiani
kweli bora niwakimbie. Si unamuona fide hapo anaanza kunidanganya kwa chps kuku.
Ahaaa ahaaa Jumamosi nimekaa pale washikaji wakawa wananipiga madongo wanaenda kwa Masekela kumbe shoo yenyewe ya kitapeli wamerudi pale vichwa chini nikawa nawatania vipi hela zenu mnarudishiwa lini baada ya kutapeliwa wakawa na hasira kweli lolzzIna onekana member pale mazingira unayajua sana, lol next time nikiingia nitaku beep
mapenzi hayana formulae-it is and will always be TRIAL AND ERROR-if it works out fine-if no back to the drawing board