Partner asante kwa thread nzuri...mengi ambayo ningesema naona waliotangulia wameshaniwahi.
Nnachoweza kuongezea ni kwamba though kwa kiasi flani uko sahihi wakaka wataanza kuwa‘lebell‘ wadada kitabia kwa kutumia umri.Kitu ambacho sio kizuri maana sio wote unaoweza kugundua atakua katika stage gani ya maisha kwa kutambua umri wake.Alafu nasema huku mwenyewe hua nafanya hivyo kwa wakaka na wadada nnaotokea kuanza urafiki nao...i should probably change and tryanna get to know ‘em before saying ‘naaah he/she is too mature‘ maana hata wadada naprefer walio zaidi ya 25.Ila wakati huo huo wapo wasichana wadogo ambao experience za maisha zimewakuza zaidi ya umri walio nao.Kwahiyo enyi wakaka
mnaoogopa sijui wanawake wa Darisalamu na kusema walio under 28 hawajamature bado jaribuni kuwajua wao kama wao ni watu wa aina gani.Ndio wapo wa chache but who knows...labda na wewe utakua mmoja kati ya walio na bahati ya kukutana na hawa wachache waliokomaa kiakili wakati
mwingine hata zaidi ya wakubwa zao!!!
Hahahaha...Asha D...kama amepitia hii thread mayb!
Ila nawapenda kwenye having fun..ukiwa nao u rily enjoy ur tym (i.e. friday jioni nkitoka kazini na saturday)...afta that sitaki kujuana!
It's like they never think of the future..kwao ts jus spending lyk there's never tomorrow!
Afu wen u think wanawake wa mjini ndo wanashupalia equal rights..looh! unaeza shangaa..
jus because u r the man..utalia nakwambia! they want u 2 pay 4 everything..
hata sh. 500 ya gazeti la udaku alilonunua na muuza magazeti hana change ya 10,000 uliyotoa kulipia...damn! na anayo mfukoni..
SINA HAMU NANYI MABINTI WA MJINI!
Hahahahh partner afadhali uwaambie.Unamtaka mdada ambae anangaa from head to toe kwa gharama zake alafu ukitumia muda wake kidogo nae akinywa kamaMartin na kutaka mwende Kempeski for dinner kwasababu ndo hadhi yake roho inakuuma!!Besides...mnajuaje kwamba mkishazoeana hatoku-treat mara moja moja!!?Sasa tufanyeje... wewe si unajifanya kidume kunifuata!Umenikuta naenda Range Rover, nimevaa saa ya Gucci originalNguo zilizochangi siku hio uchanganikiwe na umbo langu (ingawa yaonekana simple)niliinunua for a Kilo and half niliposafiri kikazi kwenda Kampala...Na ukaniona kabisaa the phone am using is a pink BB... achilia mbali kua napenda music hivyo nina ipad ya Mac... ambayo bahati yako nimepumzisha laptop yangu ya apple sababu ya upana wa matumizi wa hii ipad...Mentor umenikuta hivyo na ukanitokea... what do you expect!
Hahahahh partner afadhali uwaambie.Unamtaka mdada ambae anang‘aa from head to toe kwa gharama zake alafu ukitumia muda wake kidogo nae akinywa kamaMartin na kutaka mwende Kempeski for dinner kwasababu ndo hadhi yake roho inakuuma!!Besides...mnajuaje kwamba mkishazoeana hatoku-treat mara moja moja!!?
Kumbe walioniambia hawakukosea lol!!!Sasa tufanyeje... wewe si unajifanya kidume kunifuata!
Umenikuta naenda Range Rover, nimevaa saa ya Gucci original
Nguo zilizochangi siku hio uchanganikiwe na umbo langu (ingawa yaonekana simple)
niliinunua for a Kilo and half niliposafiri kikazi kwenda Kampala...
Na ukaniona kabisaa the phone am using is a pink BB...
achilia mbali kua napenda music hivyo nina ipad ya Mac...
ambayo bahati yako nimepumzisha laptop yangu ya apple
sababu ya upana wa matumizi wa hii ipad...
Mentor umenikuta hivyo na ukanitokea... what do you expect!
Sasa tufanyeje... wewe si unajifanya kidume kunifuata!
Kwa hiyo umeambiwa relationship ni kutesana ama kusaidiana!??
Umenikuta naenda Range Rover, nimevaa saa ya Gucci original
Range rover ya 'ankooo'..saa ya gucci ulimgonga boyfriend wako wa zamani akakuachia
Nguo zilizochangi siku hio uchanganikiwe na umbo langu (ingawa yaonekana simple)
Umbo zuri kweli unalo...na lililonivutia kutaka kukufahamu zaidi, kwamba je, ndani ya umbo zuri hivyo kunaweza kuwa na sifa nzuri kama za nje!??
niliinunua for a Kilo and half niliposafiri kikazi kwenda Kampala...
Corrections: ulinunuliwa aliposafiri kwenda Kampala! (madem wengi wa cku izi, half their closets ni zawadi from ex-boyfriends na ma-sugardady!)
Na ukaniona kabisaa the phone am using is a pink BB...
Hiyo sijui ulimhonga nan akakununulia
achilia mbali kua napenda music hivyo nina ipad ya Mac...
umembebaea eafiki yako na wewe uonekane matawi
ambayo bahati yako nimepumzisha laptop yangu ya apple
hata desktop huna!
sababu ya upana wa matumizi wa hii ipad...
Mentor umenikuta hivyo na ukanitokea... what do you expect!
Nikikukuta hivyo..nakutumia 4 the weekend then nasepa! wanawake wa mjini shida tupu!!! hawaoleki yani...nt wife materials!!!
Hahahahh partner afadhali uwaambie.Unamtaka mdada ambae anangaa from head to toe kwa gharama zake alafu ukitumia muda wake kidogo nae akinywa kamaMartin na kutaka mwende Kempeski for dinner kwasababu ndo hadhi yake roho inakuuma!!Besides...mnajuaje kwamba mkishazoeana hatoku-treat mara moja moja!!?
Sasa tufanyeje... wewe si unajifanya kidume kunifuata!
Kwa hiyo umeambiwa relationship ni kutesana ama kusaidiana!??
Umenikuta naenda Range Rover, nimevaa saa ya Gucci original
Range rover ya 'ankooo'..saa ya gucci ulimgonga boyfriend wako wa zamani akakuachia
Nguo zilizochangi siku hio uchanganikiwe na umbo langu (ingawa yaonekana simple)
Umbo zuri kweli unalo...na lililonivutia kutaka kukufahamu zaidi, kwamba je, ndani ya umbo zuri hivyo kunaweza kuwa na sifa nzuri kama za nje!??
niliinunua for a Kilo and half niliposafiri kikazi kwenda Kampala...
Corrections: ulinunuliwa aliposafiri kwenda Kampala! (madem wengi wa cku izi, half their closets ni zawadi from ex-boyfriends na ma-sugardady!)
Na ukaniona kabisaa the phone am using is a pink BB...
Hiyo sijui ulimhonga nan akakununulia
achilia mbali kua napenda music hivyo nina ipad ya Mac...
umembebaea eafiki yako na wewe uonekane matawi
ambayo bahati yako nimepumzisha laptop yangu ya apple
hata desktop huna!
sababu ya upana wa matumizi wa hii ipad...
Mentor umenikuta hivyo na ukanitokea... what do you expect!
Nikikukuta hivyo..nakutumia 4 the weekend then nasepa! wanawake wa mjini shida tupu!!! hawaoleki yani...nt wife materials!!!
Shur...labda anaona aibu kukununulia sikuya kwanza!!Pia unaweza kukutana na mimi nikakununulia siku ya kwanza na ya pili...nikakurembulia macho na kuleta story zilennazoona zinakuvutia tu alafu ukishaingia line nakuchuna mpaka siku uje kuondokana na mimi ndo unagundua na kushangaa kwahyo first impression can be faked!!R u serious Lizzy,Tunajua from the first day...first impression matters a lot!!! huwezi niambia unanchuna sasa ili baadaye uje kuntoa...!!!!
ADI,
Hongera kwa uchambuzi mzuri na pia kwa tabia yako ya kupenda kushea na wenzio...Naamni akina Teamo hawatakukaribisha kwenye chama chao (kwani msemo wao mashuhuri ni kwamba..."kizuri kula na mwenzio")!!!!!
Hizi tabia ni za kweli ila umesahau influence ya mazingira...Binti mwenye <19yr wa Temeke, Tandika na Manzese ni zaidi ya >25yrs wa O'bay na mitaa mingine ya wa dada wa mashauzi!! Kwa hiyo ni muhimu kuwa makini na mambo ya umri kwa kuangalia viwanja tunavyochezea!
Ila ukweli ni kwamba hao 14-18 ni hatari sana...Niliwaogopa na bado nawaona kama ukoma!
Lakini mmhhhhh...kama ningeweza kurudisha saa nyuma basi hilo kundi la mwisho (>39) ndo lingemfaa mzee DC...Tatizo meno yote kwisinei!!
Mubarikiwe sana ila msiwanyanyapae wenzenu!!
Baadhi ya hao 14 had 18 wanajipeleka kwa mafataki ili wapate ela ya pamba si unajua kwenda na wakat, wengi wao hawajui kuumizwa ndo nini
.Baadhi ya hao 14 had 18 wanajipeleka kwa mafataki ili wapate ela ya pamba si unajua kwenda na wakat, wengi wao hawajui kuumizwa ndo nini
Mzee DC natanguliza shukrani...
Kwa busara na nguvu zako naamini kua waweza mbadilisha mawazo Teamo na the crew...lol
Nimependa pia uchambuzi wako ila ningependa kweli kujua personal reasons kuhusiana na the age
you are interested in kama ungeweza rudisha the hands of time nyuma... you neva know
waweza pata maana hizi issue meno si lazima....(naona naharibu hapa...)
Hahahha...mzee DC umenifurahisha kweli....kwahiyo kumbe wewe usichotaka ni usumbufu?!?!Ohhh alafu ni kwa Sadala...Poa sana ADI,Mbona nimeshatoa maoni yangu...Kuhusu age ya >39, nimesema kabisa kwamba hao wanaitwa "mtelemko wa kwa Sadara"!!!! Hakuna mwanamume anapenda usumbufu wa kupigwa pigwa tarehe kama yuko mahakama ya mwanzo....Wengi tunapenda fast track na ndo maani ningebanana nao hao! But just wishes....Kuwabadilisha akina Teamo....Mhhhhh....sitarajii kuingiza timu yangu kwenye huo uwanja, pale kuna Barca, nitaumbuka mdogo wangu!!
Poa sana ADI,
Mbona nimeshatoa maoni yangu...Kuhusu age ya >39, nimesema kabisa kwamba hao wanaitwa "mtelemko wa kwa Sadara"!!!! Hakuna mwanamume anapenda usumbufu wa kupigwa pigwa tarehe kama yuko mahakama ya mwanzo....Wengi tunapenda fast track na ndo maani ningebanana nao hao! But just wishes....
Kuwabadilisha akina Teamo....Mhhhhh....sitarajii kuingiza timu yangu kwenye huo uwanja, pale kuna Barca, nitaumbuka mdogo wangu!!